Rapper mwingine wa TZ aliyetunukiwa shahada ya kwanza chuo kikuu
.
Rapper kutokea Unity Entertainment Stereo ambaye ameachia wimbo wake
uitwao ‘Wako’ aliomshirikisha muimbaji wa Kenya,Victoria Kimani leo Des 6
ameongezewa CV yake ya Elimu baada ya kutunukiwa shahada ya ‘Bachelor of Science in Urban and Regional Planning’ kutoka chuo kikuu cha Ardhi Dar es Salaam.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni