Yanayojiri Bungeni Dodoma Muda Huu..Wabunge wa Ukawa Walianzisha na Kutolewa Nje ya Bunge na Spika
Wabunge wanaounga umoja wa Katiba Ya Wananchi, UKAWA wametolewa
nje ya ukumbi wa bunge muda huu baada ya kugoma kutambua ujio
wa Dr Shein bungeni na kuanza kuzomea huku wakisema Maalim Seif....Maalim Seif
Spika wa bunge,Job Ndugai aliwataka wabunge hao waache kuzomea na
badala yake wakae chini lakini wakakaida, hali iliyomfanya
awaamuru watoke nje kwa hiari yao kabla nguvu ya dola
haijatumika kuwatoa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni