Baada ya Sakata la Madawa ya Kulevya kumuandama mpaka kufikia kulazwa
Hospitalini, Uhamiaji nao wamekuja na Mpya baada ya kukamata Passport
Kadhaa ofisini kwake za watu kutoka nje ambao wanafanya kazi kwenye
kampuni yake bila vibali vya uhamiaji....
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni