Kutoka Mwanza anaitwa Barakah Da Prince Mwanzoni ulimsikia na wimbo wa Jichunge ambao video yake ilifanywa na Director Nisher kutoka Arusha,leo July 02 ameamua kuachia wimbo wake ambao kasema ni zawadi maalum kwa mashabiki wake waliompokea vizuri na wimbo wa Jichunge.
Huu unaitwa Sio Fine amautoa wakati akijiandaa na single yake maalum itakayotoka October, wimbo huu uliwahi kusikia kwenye vituo vya Mwanza na kanda ya ziwa ila katika aina tofauti na hii,ingawa haukutoka rasmi kwa sasa ameamua kuurekodi upya na kwa kiwango bora zaidi ili uweze kuwafikia mashabiki wote wapya na wa zamani.
Bonyeza play kuusikiliza na kudownload.
Jumatano, 2 Julai 2014
Home »
» Zawadi kutoka kwa Barakah Da Prince – Sio Fine
Zawadi kutoka kwa Barakah Da Prince – Sio Fine
Related Posts:
Tundu Lissu Abaini Mbinu Chafu kwa Chama Fulani Kuweka Mgombea Urais TLS..!!! Mwanasheria Mkuu wa Chadema na mbunge wa Singida Mashariki kupitia chama hicho, Tundu Lissu amezungumzia hatua yake ya kujitosa kuwania urais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS). Mosi, Lissu amesema amep… Read More
Majaliwa Afunguka Issue ya Madawa ya Kulevya Inayoratibiwa na Makonda.. JUMLA ya Watanzania 578 wamekamatwa na kufungwa katika magereza ya nchi mbalimbali kwa makosa ya kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya. Akiahirisha mkutano wa sita wa Bunge la 11 mjini Dodoma juzi, Wazir… Read More
Jaji Chande Apewa Kazi Umoja wa Mataifa..!! Jaji Mkuu mstaafu Othman Chande ameteuliwa kuongoza jopo la wataalamu watakaochunguza mazingira yaliyosababisha ajali ya ndege iliyomuua aliyekuwa katibu mkuu wa umoja huo, Dag Hammarskjold. Uteuzi huo wa jaji mkuu … Read More
40 ya Nillan: Wolper Achafua Hali ya Hewa, Atoa Povu Hadharani Mbele ya Wageni WAKATI sherehe ya kutimiza 40 kwa mtoto wa Diamond na Zari, Nillan ikiendelea, staa wa Bongo Movies, Jackline Wolper Massawe amekerwa na wanaomsema vibaya Zari na kuamhua kuwafungukia hadharani akitoa povu lake mbele ya… Read More
Baada ya Kutoka Selo Kwa Dhamana Hii Ndio Post ya Kwanza Aliyoandika Wema Sepetu Instagram Inawezekana kama wewe ni shabiki wa Wema Sepetu ulikua na hamu sana ya kujua post yake ya kwanza kwenye mitandao ya kijamii itahusu nini baada ya kuachiwa kwa dhamana na Mahakama kufuatia sakata la dawa za kulevya… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni