Rais
Barack Obama wa Marekani na baraza lake leo anatarajiwa kuwa na
majadiliano kuhusiana na machafuko yanayoendelea katika miji ya Ferguson
na Missouri kutokana na kuuawa kwa kijana mweusi na polisi wa kizungu.
Mkutano
huo utalenga namna ya kuleta hali ya kuaminiana kati ya polisi na jamii
na pia kuangalia vyombo vya kupitia mipango ya serikali kuendeleza hali
ya amani.Meya wa jimbo la Ferguson ametangaza siku ya jumapili polisi Darren Wilson alitangaza kujiuzuru hatalipwa mafao yake kama sehemu ya adhabu kwa kitendo alichokifanya cha mauaji.
Hatua iliyofikiwa ya kupitisha kutomfungulia mamshtaka ndiko kulikoshuka ghasia katika jimbo la Ferguson na katika maeneo mengine ndani ya Marekani.
0 comments:
Chapisha Maoni