.
Tumeshazoea kuona baadhi ya mastaa wa Afrika wanapoweka video zao
kwenye youtube wanapata views nyingi ndani ya siku chache lakini Good
news time hii imeangukia kwa mkali wa Tanzania.
Mmiliki wa hit single ya ‘Mdogo Mdogo’ Diamond Platnumz ameipiku
video ya wakali wa Nigeria P Square baada ya kupata views nyingi ndani
ya siku...