
Mohamed Mpinga ni Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani Tanzania na amekubali kukaa kwenye Interview na Ayo kujibu
baada ya watu ku-comment kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuona
Diamond amepost picha akiwa na Kamanda na hakupelekwa Mahakamani.
Kamanda Mpinga ameeleza kwanini Mwimbaji Diamond Platnumz
hakupelekwa Mahakamani baada ya video yake kusambaa...