Baadhi ya madenti wa vyuo vikuu mbalimbali jijini Dar es Salaam, wameoza kwa matukio machafu ya ngono.
Katika uchunguzi wa muda mrefu, Inaonyesha kuwa kuna kamtindo ka wanafunzi kufanya mapenzi ndani ya hostel zao huku wakijirekodi na kupiga picha chafu na za aibu na wengine hata kuuza miili yao ili kukidhi hali ngumu ya maisha iliyopo vyuoni
Data zilizokamilika zilionesha kuwa wanafunzi hao waliojulikana kwa jina mojamoja ni Maya mwenye umri wa miaka 19, anayesoma katika chuo maarufu cha mahesabu, Raya anayebukua masomo ya Information Technology (IT) na mwingine ambaye jina lake na chuo anachosoma havikupatikana.
Habari zilidai kuwa Raya na rafiki zake watatu wamekuwa wakijihusisha na vitendo haramu vya ngono rejareja na mwanaume mmoja wakiwa katika hosteli hiyo kwa kigezo cha mshiko ‘mnene’ wanaochuma kwa jamaa huyo.
Hata hivyo, ripoti ya uchunguzi wetu haikufanikiwa kuwanasa wakimhudumia mwanaume huyo kwa mpigo, isipokuwa ilifuma picha ambazo kila mmoja yuko na jamaa huyo kwa nyakati tofauti.
Baada ya kunasa picha hizo chafu kupita maelezo kwa jamii ya Kitanzania, wapekuzi wetu waliwatafuta wahusika ambapo walifanikiwa kumpata Raya ambaye pamoja na kuelezwa kuwa kuna ushahidi wa picha, alikana kuzifahamu.
Mbali na matukio hayo yaliyosheheni katika makabrasha yetu, uchunguzi ulibaini kuwa, siyo kila mwanachuo anayepata nafasi hiyo adimu ya kujiunga na elimu ya juu anafanya kile kilichokusudiwa, badala yake wanafanya kinyume kwa kujihusisha na vitendo haramu na hatarishi vya ngono.
Imebainika kuwa wanaoishi hosteli ndiyo wanaoongoza kwa uchafu huo kwa sababu wana uhuru wa kufanya hivyo bila kubanwa hivyo kugeuza vyumba vyao madanguro.
Katika uchunguzi wetu, ilibainika pia kuwa idadi kubwa ya wasichana wanaojiuza katika viunga mbalimbali jijini Dar ni wanafunzi wa vyuo vikuu wanaofanya biashara haramu ya kuuza miili kwa wanaume ili kukidhi mahitaji ya kila siku kuendana na mfumuko wa bei.
Wakijitetea kwa sharti la kutotajwa , madenti wa vyuo walionaswa wakijiuza katika eneo la Sinza Afrika Sana, Dar hivi karibuni, walidai tatizo ni Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ambayo haiwapi fedha za kutosha.
Jumanne, 1 Julai 2014
Home »
» TUNAENDA WAPI JAMANI CHEKI PICHA ZA UCHI ZA WANAFUNZI WA CHUO MAARUFU HAPA NCHI
TUNAENDA WAPI JAMANI CHEKI PICHA ZA UCHI ZA WANAFUNZI WA CHUO MAARUFU HAPA NCHI
Related Posts:
NI KIVUMBI LIGI YA MABINGWA ULAYA Katika michuano ya Klabu Bingwa barani Ulaya leo kuna kivumbi kingine ambapo CSKA Moscow itakuwa na kibarua kigumu pale watakapowakaribisha Bayern Munich. Wakati huo huo Man City waliopigwa bao moja na Bayer… Read More
Taarifa kuhusu kifo cha msanii wa bongofleva Side Boy Mnyamwezi. Ingawa Nafasi yake katika muziki wa Bongo Fleva ilikuwa ikipanda taratibu kulingana na aina ya muziki aliokuwa akiumba,single iliyomtambulisha zaidi kwenye muziki wa Bongo Fleva inaitwa Kua uone ambayo alimshirikisha A… Read More
Omar Gonzalez White HouseMlango huo unavyoonekana Taarifa kutoka mjini Washngton zinaeleza kua mwanamume mmoja aliyekua ameshikilia kisu mikononi mwake aliruka uzio wa makao ya Rais wa Marekani Brack Obama na kukimbia kuelekea kwenye makazi… Read More
Maneno ya Rais wa Simba baada ya hizi droo zao ligi kuu Rais Simba Evans Aveva kwa mara ya kwanza amefungua mdomo wake na kulizungumzia suala la sare mbili katika mechi zao za Ligi kuu bara ambapo Rais huyu amewataka mashabiki na wanachama wa Simba kuungana na kuwa pamo… Read More
Eti umoja wa Ma-Girlfriend wamekuja na hii baada ya Diamond kutoa zawadi ya Gari kwa Wema… September 26 ilikua ni siku ambayo mrembo kutoka Tanzania Wema Sepetu alisherehekea siku yake ya kuzaliwa ambapo ndani ya siku yake hii ukitoa party aliyoifanya kulikuwa na vitu mbalimbali vya kuvutia. Siku hiyo D… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni