.
September 16 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @millardayo ili niwe nakutumia kila kinachonifikia.
Source:millad...
Alhamisi, 15 Septemba 2016
FEYENOORD KAVUNJA REKODI YA MAN UNITED KATIKA HISTORIA
Bado mashabiki wa Man United wanashangazwa na maamuzi ya kocha Jose Mourinho kumuacha nahodha wao Wayne Rooney jijini Manchester na kusafiri hadi Uholanzi kucheza mchezo wao wa kwanza wa Kundi A dhidi ya Feyenoord, huo ni mchezo ambao umechezwa katika dimba la Stadion Feijenoord.
Kabla ya dakika...
DAKIKA 10 ZILIZOBADILI FURAHA YA KRC GENK YA SAMATTA EUROPA LEAGUE
Usiku wa Alhamisi ya Septemba 15 2016 ilikuwa siku ambayo macho ya watanzania wengi waliyaelekeza Australia kumuangalia nahodha wao wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Mbwana Samatta akiandika historia mpya katika maisha yake ya soka kwa kucheza mchezo wake wa kwanza wa hatua ya makundi ya Europa League akiwa naKRC Genk.
Samatta ambaye...
GOLI LA RONALD0 DHIDI YA SPORING CP LIMEVUNJA REKODI ZA UEFA
Baada ya michezo nane kuchezwa usiku wa Septemba 13 2016, Jumanne ya septemba 14 michezo 9 ya hatua ya makundi ya michuano ya klabu Bingwa barani Ulaya ilichezwa barani Ulaya, miongoni mwa michezo iliyochezwa usiku wa Septemba 14 ni pamoja na mchezo wa Real Madrid dhidi ya Sporting CP.
Sporting CP ni klabu ilimyolea Cristiano Ronaldo kutokea...
SIASA WALICHOKIONGEA CUF KUHUSU KUWAVUA UANACHAMA WANACHAMA WAKE AKIWEMO PROF LIPUMBA
Baada ya headline za Chama cha wananchi CUF kuwavua uanachama baadhi ya wanachama wake akiwemo aliyewahi kuwa mwenyekiti wake Profesa Ibrahim Lipumba JANA September 15 2016 kamati ya uongozi taifa imekutana na waandishi wa habari Dodoma na kuzungumzia hatma ya chama hicho ikiwa ni pamoja na kumtaka msajili wa vyama vya siasa asitumike kukiyumbisha...