Ingawa
hajaweka wazi namna dili hii itakavyokuwa lakini kupitia ukurasa wake
wa Instagram,Diamond Platnumz amepost picha ambayo imebeba maandishi
yasemayo ‘Ningependa kukutaarifu shabiki wangu pendwa kuwa kijana wako
sasa ni balozi wa application mpya iitwayo Mziiki’.
Hii ni application ambayo itatumiwa na watu wenye simu za androad
kusikiliza muziki huu ndiyo muonekano...
Alhamisi, 25 Septemba 2014
ILICHOSEMA CLUB YA SIMBA JUU YA IVO MAPUNDA KUVUNJIKA
Zikiwa
zimebakia wiki mbili kabla ya kukutana na mahasimu wao wa jadi, Simba
imepata pigo kubwa katika timu kwa sababu kipa namba moja wa timu hiyo
Ivo Mapunda amevunjika kidole mazoezini Zanzibar jana asubuhi na
anatakiwa kuwa nje ya uwanja kwa wiki nane.
Hatoweza kusimama golini wakati tiu yake ikicheza na Yanga October 12
2014 ambapo daktari wa Simba SC Yassin...