
Mbunge wa arusha mjini Godbless lema amesema leo bungeni swala la
Zanzibar si la kichama,Ni swala la nchi na lisipotafutiwa ufumbuzi lina
athari kwa kila mtu,
Lema ameenda mbali zaidi na kuwaambia Wabunge Wa CCM hii nchi
ikiharibika hata watoto wao wataharibikiwa na hawawezi kukaa madarakani
kwa maisha yao yote.
Lema amemtolea mafano mbunge Marry nagu na kumwambia...