VIDEO Queen mwenye umbo tata Bongo, Agness Jerald ‘Masogange’ alifungukia penzi lake na staa wa muziki kutoka Nigeria, Davido.
Akizungumza na Amani Masogange alisema kuwa kuna uvumi unaovumishwa na 
baadhi ya watu kwamba amekuwa akitoka kimalovee na Davido jambo ambalo 
halina ukweli wowote.
“Kwanza kabisa Davido ni shemeji yangu lakini pia kuna ‘project’ 
kubwa ambayo tunaiandaa. Mtakuja kuelewa tu hapo mbeleni na si jambo la 
kusema ni wapenzi bila kuthibitisha,” alisema Masogange.
Alhamisi, 15 Oktoba 2015
Home »
 » KILA KITU AANIKA:HATIMAYE AGNESS MASOGANGE AFUNGUKIA PENZI LA DAVIDO







 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
Chapisha Maoni