Nashangaa kuona wasanii wote wanaimba key moja mwisho wa siku 
haitambuliki huyu ni nani sababu wanaigana kama wataendelea hivi 
watachokwa hakuna anayetaka kubadika.
Baada yakuja huyo Lava Lava nikazani anakuja na key tofauti kumbe yale 
yale leo katoa nyimbo mpya inaitwa teja anaimba kama Diamond au 
harmonize.
Game ya mziki kwa sasa imepoa sana wasanii wajaribu kuja na style mpya kila siku kuimba kwa mazoea ni kero tu kwa wasikilizaji.
Pia wajaribu kutoa na Producers tofauti , midundo ya Laizer tumeshaichoka







0 comments:
Chapisha Maoni