
Dancers wa P-Square pamoja na msanii mkubwa wa nchini Congo, Fally Ipupa
walijaribu kumshawishi Diamond ili wafanye kazi ya pamoja na dancers
wake.
Akizungumza na Bongo5 jana mmoja wa dancers hao, Imma Platnumz, alisema
hali hiyo ya kufuatwa na dancers wa P-Square inaonyesha kazi
wanayoifanya inakubalika.
“Tulikuwa tupo Nigeria tunafanya show, dancers wa P-Square wakataka...