Jumanne, 1 Julai 2014

New AUDIO | Joh Makini - I See Me (Najiona Mimi) | Download

New AUDIO | Quick Rocka ft.Barnaba - SUKIDO | Download

New AUDIO | Kala jeremiah ft NeywaMitego&Mo Music - Simu ya Mwisho | Download

New AUDIO | Nay Wa Mitego & Mr Touch - Mr Nay | Download

New AUDIO | DAYNA NYANGE - I DO | Download

New AUDIO | Ben Pol - Upendo | Download @iambenpol

New AUDIO | Mr Blue, Amini, Barnaba, Dayna - Dereva Makini | Download

JE WAJUA JINSI YA KUTONGOZA MSICHANA KWENYE MTANDAO WA FACEBOOK...

Facebook ndio habari ya mjini..., kila mtu yupo na kila msichana mzuri au mbaya, hata yule wa kwenye ndoto zako anaitumia, na ni sehemu iliyo na wasichana wengi zaidi waliounganisha na mtandao mmoja kuliko mtaani, mashuleni na maofisini.

Na kizuri zaidi kupita yote hayo, hata kama uwe na aibu ya kutongoza kiasi gani, face buku huwezi kutetemeka hata ukucha, unachotakiwa kujua ni mpangilio kwanza ili uweze kuwavutia wasichana wa kila aina.


Facebook ni msitu wa wasichana, kwa hio inakupasa kuwa na subira japo kuwa unaham kubwa, angalia usije haribu na usimtongoze msichana papo hapo, kinachotakiwa ni kufuata masharti kidogo na uwezo mkubwa wa kuangalia na kutafakari...


Safisha picha zako...
Futa picha zako zote zile mbaya na ambazo haziitajiki, kwa mfano zile ulizopiga baa na vimada tofauti tofauti, na sidhani kama ulitakiwa uziweke intaneti kila mtu hazione!, hakikisha umetoa picha zote za wanawake wakiwa watupu hata kama ulikua umezishea tu, maana zinaleta muuonekano mbaya kihisia na zinamwonyesha msichana kwamba wewe sio mtu mzuri wa kuanzisha mahusiano naye, zifute na zile ambazo umejipiga mwenyewe, kwa vyovyote vile hazikuonyeshi ukiwa mtanashati, hakikisha zimebaki za kwako peke yako na hata kama za marafiki zisiwe na hisia zozote ambazo zinaweza kumfanya msichana hahisi hujatulia.

Tengeneza marafiki zaidi...
Ukiweza kupata marafiki wengi zaidi, ndivyo utakavyo kuwa unaongeza wigo mpana zaidi wa kumpata na kumchambua yule mwenye mvuto zaidi uliokua ukimwota kwenye ndoto zako, kwa hio hakikisha unajiunga na marafiki wengi zaidi uwezavyo, tafuta hata wale uliosoma nao zamani na jiunge kwenye magrupu ya facebook ili upate marafiki zaidi.

Marafiki wa marafiki...
Kama ukiwa umeweza kujiunga na marafiki wengi, utakua na nafasi kubwa ya kumchambua yupi unaemtaka, angalia komenti zote zinazopita pamoja na picha mbali mbali zinazopita, ukimwona yule aliyekushika macho na hisia kakomenti, hata kama kakomenti kwenye komenti ya rafiki yako, na wewe komenti hapo hapo na hakikisha umeweka na komenti tata juu yake ili apate sababu ya kukujibu wewe, na kama hajakomenti, tafuta rafiki unayemjua aweze kukutambulisha kwake, muulize rafiki yako kiungwana kwa mfano... "Mambo, nimemwona msichana mrembo rafiki yako Angel, unaweza kunitambulisha kwake?", hili swali lipo moja kwa moja na sidhani kama anaweza kataa kukutambulisha.yeye atakachofanya ni kukusagesti urafiki kwake ili atakapokuadd mkubalie urafiki na hapo ndipo unaanza swaga.

Mtumie mwaliko wa kuwa marafiki...
Kwa hio kama mmeweza kukomenti hapa na pale pamoja, sasa hivi atakua ameshakujua, mtumie mwaliko wa kuwa marafiki, kuna asilimia kubwa sana lazima akubali, na mkisha kuwa marafiki sasa unaweza kuanza kukomenti kwenye maandiko yake na picha zake, pia mnaweza piga stori za hapa na pale kwa kuchati, baada ya maendeleo kwenda vizuri na mazoea yamekua ya kutosha, unaweza mwomba siku moja muweze kutoka wote mtoko!.
Vuta subira na kuwa jasiri...

Iwapo ikitokea asipokujibu, japo ni mara chache sana iwapo umefuata maelezo vizuri, usije chukulia haraka na kukurupuka, usimuulize chochote kuhusu hilo, endelea na stori, mpe muda na subiri tena wakati mwingine mwafaka wa kumba mtoko tena.

Ili kuongeza mafanikio unaweza fanya kwa msichana zaidi ya mmoja, maana samaki ni wengi sana baharini na wavuvi pia ni wengi xo ni ushindani.

PICHA ZA TUKIO LA UJAMBAZI UBUNGO‏, YAUA SISTA WA PAROKIA YA KIBANGU.

Mwili wa Sista baada ya kupigwa risasi.
Kidole cha dereva kilichokatwa kwa risasi.
Ganda la risasi likiwa eneo hilo la tukio.
.Dereva akiwasiliana na jamaa zake baada ya kupigwa risasi na sista aliyekuwa naye kuuawa.
Wananchi wakiwa eneo la tukio.
SISTA wa Parokia ya Makoka iliyopo Kibangu, Dar ameuawa na majambazi yaliyokuwa kwenye bodoboda wakati akiingia kwenye gari akitokea dukani eneo la River Side, Ubungo jijini Dar es Salaam hivi punde.
Kabla ya kuuawa sista huyo, dereva wake alipigwa risasi mkononi na majambazi hayo.
Chanzo GPL

TUNAENDA WAPI JAMANI CHEKI PICHA ZA UCHI ZA WANAFUNZI WA CHUO MAARUFU HAPA NCHI

Baadhi ya madenti wa vyuo vikuu mbalimbali jijini Dar es Salaam, wameoza kwa matukio machafu ya ngono.

Katika uchunguzi wa muda mrefu, Inaonyesha kuwa kuna kamtindo ka wanafunzi kufanya mapenzi ndani ya hostel zao huku wakijirekodi na kupiga picha chafu na za aibu na wengine hata kuuza miili yao ili kukidhi hali ngumu ya maisha iliyopo vyuoni



Data zilizokamilika zilionesha kuwa wanafunzi hao waliojulikana kwa jina mojamoja ni Maya mwenye umri wa miaka 19, anayesoma katika chuo maarufu cha mahesabu, Raya anayebukua masomo ya Information Technology (IT) na mwingine ambaye jina lake na chuo anachosoma havikupatikana.



Habari zilidai kuwa Raya na rafiki zake watatu wamekuwa wakijihusisha na vitendo haramu vya ngono rejareja na mwanaume mmoja wakiwa katika hosteli hiyo kwa kigezo cha mshiko ‘mnene’ wanaochuma kwa jamaa huyo.



Hata hivyo, ripoti ya uchunguzi wetu haikufanikiwa kuwanasa wakimhudumia mwanaume huyo kwa mpigo, isipokuwa ilifuma picha ambazo kila mmoja yuko na jamaa huyo kwa nyakati tofauti.
 Baada ya kunasa picha hizo chafu kupita maelezo kwa jamii ya Kitanzania, wapekuzi wetu waliwatafuta wahusika ambapo walifanikiwa kumpata Raya ambaye pamoja na kuelezwa kuwa kuna ushahidi wa picha, alikana kuzifahamu.



Mbali na matukio hayo yaliyosheheni katika makabrasha yetu, uchunguzi ulibaini kuwa, siyo kila mwanachuo anayepata nafasi hiyo adimu ya kujiunga na elimu ya juu anafanya kile kilichokusudiwa, badala yake wanafanya kinyume kwa kujihusisha na vitendo haramu na hatarishi vya ngono.



Imebainika kuwa wanaoishi hosteli ndiyo wanaoongoza kwa uchafu huo kwa sababu wana uhuru wa kufanya hivyo bila kubanwa hivyo kugeuza vyumba vyao madanguro.



Katika uchunguzi wetu, ilibainika pia kuwa idadi kubwa ya wasichana wanaojiuza katika viunga mbalimbali jijini Dar ni wanafunzi wa vyuo vikuu wanaofanya biashara haramu ya kuuza miili kwa wanaume ili kukidhi mahitaji ya kila siku kuendana na mfumuko wa bei.



Wakijitetea kwa sharti la kutotajwa , madenti wa vyuo walionaswa wakijiuza katika eneo la Sinza Afrika Sana, Dar hivi karibuni, walidai tatizo ni Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ambayo haiwapi fedha za kutosha.

JE WAJUA MWANAFUNZI CHUO KIKUU ALIYECHOMWA MOTO AFARIKI, KUZIKWA KESHO KILIMANJARO

Daniel Anael Lema, aliyekuwa mwanafunzi wa mwaka wa nne wa shahada ya sheria katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Mt. Augustino, Tawi la Iringa (Ruaha University College - RUCO) enzi za uhai wake
 Jeneza lenye mwili wa marehemu Daniel Lema kabla ya kuagwa.
 Marehemu Daniel Lema akiwa hospitali baada ya kuchomwa moto na wananchi.
 Ndugu wa marehemu wakiandaa jeneza kwa ajili ya mwili wa marehemu Daniel kuagwa.
 Daniel Anael Lema, aliyekuwa mwanafunzi wa mwaka wa nne wa shahada ya sheria katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Mt. Augustino, Tawi la Iringa (Ruaha University College - RUCO), amefariki dunia baada ya kushambuliwa kisha kuchomwa moto na wananchi wenye hasira akidhaniwa kuwa mwizi.


Tukio hilo lilitokea Juni 24, 2014, majira ya saa 5 usiku ambapo inadaiwa kuwa Daniel alikuwa ametoka kuangalia michuano ya Kombe la Dunia, akawa anatafuta chakula cha jioni ambapo alipofika kwenye mgahawa mmoja ambao ulikuwa umefungwa, aliingia ndani ambapo binti aliyekuwa amelala ndani ya mgahawa huo, alianza kupiga kelele za mwizi zilizowakusanya wananchi wenye hasira kali.



Wananchi hao walianza kumshambulia Daniel wakiongozwa na mlinzi mmoja wa jamii ya Kimasai, baada ya kuzidiwa na kichapo wananchi hao walimmwagia mafuta ya taa na kumchoma moto kisha wote wakatoweka.

 Mwanafunzi huyo aliokolewa na madereva bodaboda ambao walizima moto na kumkimbiza katika Hospitali ya Rufaa ya Iringa lakini siku kadhaa baadaye alifariki dunia.


Mwili wa marehemu umeagwa mapema leo katika hospitali hiyo tayari kwa safari ya kuelekea mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya mazishi yatakayofanyika kesho Jumatano.



Mungu na ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMINA

Canada wamefungisha hizi ndoa 115 za jinsia moja kwa wakati mmoja.

Wapenzi wa muda mrefu Richard Laslett na Collin Gunther ambao wamedumu kwenye mahusiano kwa muda wa miaka 37 wamepata nafasi ya kuwa moja kati ya wapenzi wa jinsia moja 115 waliofungishwa ndoa kwa wakati mmoja mjini Toronto, Canada.
Ndoa hizo zimefungwa kwa pamoja na kuwakutanisha wapenzi wa jinsia moja kutoka maeneo mbalimbali duniani kusherekea nguvu ya mapenzi yao.

Meya wa Toronto Norm Kelly amesema wanandoa hao wamekutana na kufurahia hatua hiyo muhimu ya kufunga pingu za maisha.

Takribani nchi 15 duniani sasa zimeruhusu mapenzi ya jinsia moja .







Unaweza kuangalia video hapo chini kuona jinsi tukio hilo lilivyokuwa.








Hii ni nafasi yako kuangalia video mpya ya Shetta aliyofanyia South Africa.

Baada ya kusubili kwa muda mrefu hivi sasa unaweza kuangalia video ya Sheta akiwa na Diamond kwenye video ya Kerewa Kerewa waliyo shoot South Africa. Video ina dakika 3 na sekunde 16, enjoy kuiangalia hapa
.

Nakualika kutazama video mpya ya Ben Pol – Unanichora.

Hii ni video ambayo imeongozwa na mshindi wa tuzo ya Muongozaji[Director] anayependwa Nisher kutoka Arusha,ni video ya pili kutoka kwa Ben Pol baada ya kufanya nae video ya Jikubali,baada ya kuangalia unaweza kuandika chochote ulichokipenda kwenye video hii.

Bonyeza play kutazama.


Ebana umekiona kipande cha video ya Diamond ft Iyanya..kipo hapa

 Hii h
Diamond ameshafanya kazi nyingi ambazo bado hazijatoka, moja kati ya hizo ni audio na video yake na Iyanya.apa ni teaser ya video ya wimbo wa Bum bum akiwa na Iyanya. Sekunde 15 zinatosha kuangalia teaser yote, enjoy!!



Hizi ndizo siku zilizobaki hadi wimbo mpya wa @Shaa_tz utoke.

Kama bado haujaona picha na video za behind the scene wakati Shaa anarekodi video ya wimbo huu basi utaziona hapa. Wimbo unaitwa Subira ukiwa ni wa pili tangu aanza kufanya kazi na Mkubwa na wanae baada ya kutoa Sugua gaga. Kuanzia tarehe 29/6 zitakuwa zimebaki siku 5 hadi Shaa atoe wimbo huo mpya.

Zaidi ya wimbo amesha rekodi video ya wimbo huo. Ukitaka kuona picha za behind the scene walivyokuwa wanarekodi bonyeza HAPA















Pale girlfriend wa Chris Brown alipokutana na @DiamondPlatnumz na kumuhoji kwenye red carpet


Karrueche Tran mrembo ambae ni mpenzi wa mwimbaji staa wa dunia Chris Brown alihusika kama mtangazaji na kuhoji watu mbalimbali waliohudhuria tuzo za BET 2014 ambazo Mtanzania Diamond Platnumz alichaguliwa kushiriki kama msanii kutoka Afrika na tuzo hiyo kuchukuliwa na Davido wa Nigeria.

Katika watu ambao Karrueche aliwahoji ni Diamond Platnumz ambae alielezea ni jinsi gani amefurahi kuwepo kwenye kuwania tuzo ya BET 2014, alimtaja msanii ambae angependa kumuona kwenye stage ndani ya usiku huu pamoja na mengine tazama kwenye hii video fupi hapa chini.


TAZAMA VIDEO BONYEZA PLAY

Linah amerudi Dar! ameongea kuhusu kolabo na Uhuru na Dj Malvado South Africa

Katikati ya June 2014 Linah alizungumza na Young luvega.com akiwa South Africa na kuthibitisha kwamba kilichompeleka huko na kumfanya akae kwa zaidi ya siku 20 ni kazi ya muziki.

Miongoni mwa alivyokua anavifata ni kufanya kolabo na Oskido staa wa muziki wa Afrika kusini ambae ndio anawasimamia Mafikizolo ambao pia wanarekodi kwenye studio yake

Baada ya kutua Dar es salaam akitokea Johannesburg, Linah ameithibitishia Young luvega .com kwamba tayari amefanya kolabo na kundi la Uhuru ambao walishirikishwa kwenye wimbo wa ‘khona’ na Mafikizolo.

Kwenye studio ya Oskido, palepale wanaporekodi mastaa wengine kama Mafikizolo wenyewe na Davido pia alierekodia hapo kolabo na Mafikizolo, Linah ndio amerekodi hiyo kolabo na kundi la Uhuru.

Wimbo wake umefanywa na producer kutoka pia kwenye kundi hilohilo la UHURU ambae ndio amehusika vilevile kwenye kolabo ya Mafikizolo na Diamond Platnumz.
Kolabo alizorekodi South Africa ni mbili ikiwemo moja aliyoshirikishwa na Dj Malvado ambae yupo kwenye ile hit ya ‘Atchu tchutcha’ ambapo pia Linah amethibitisha kwamba kwa kipindi chote cha zaidi ya siku 20 Afrika kusini, amerekodi video na God father Director ambae amefanya video nyingi kubwa za Afrika zikiwemo za P Square, Davido, Diamond na wengine.

Picha ya Diamond akipiga story na Nelly kwenye red carpet ya BET

Tukio la BET awards 2014 limefanyika na mambo mbalimbali yalitokea, zaidi ya interview kwenye redcarpet Diamond amekutana na wasanii tofauti. Hivi sasa ameshare picha zake akiwa na msanii Nelly wakionekana kwenye mazungumzo na salamu. Hayo yote yametokea kwenye redcarpet ya BET usiku wa kuamkia leo 30/6.

Hii ni caption ya picha aliyokuwa na Nelly.

Maneno zaidi ya 60 aliyoyatoa Diamond baada ya mshindi wa BET 2014 kutangazwa

Dakika kadhaa baada ya mshindi wa tuzo ya BET 2014 kwa wasanii wa Afrika kutangazwa kuwa Davido wa Nigeria, staa kutoka Tanzania Diamond Platnumz aliekua anawania pia tuzo hiyo ameandika ya moyoni kwa watu wake.

‘Tusipopenda kukubali matokeo na ushindi wa wenzetu basi daima hatutaweza kuwa washindani, muhimu ni kujua wapi tulipotoka na wapi tulipo leo, katika nchi zaidi ya 20 zenye wasanii zaidi ya milioni 40 kuchaguliwa Tanzania ni fursa, heshima na hatua kubwa, cha muhimu ni kuitumia vyema fursa hii na kuhakikisha mwakani tunapiga hatua, asante sana kwa wote wanaozidi kunisupport’

Mshindi wa tuzo ya BET iliyokuwa inawaniwa na Diamond Platnumz pia.

Hii ilikua siku nyingine muhimu kwa Tanzania na Africa kwa ujumla ambapo yalikua yanasubiriwa matokeo ya tuzo ya BET sanasana kipengele wanachowania tuzo wasanii wa Afrika akiwemo Diamond Platnumz.

Davido kutoka Nigeria ndio amethibitisha kuwa mshindi wa tuzo hii ambapo kupitia page yake ya Instagram amewashukuru mashabiki na kuelezea furaha yake.

Tuzo hii ilikua inawaniwa na Diamond Platnumz kutoka Tanzania, Mafikizolo wa South Africa, Sarkodie wa Ghana, Tiwa Savage wa Nigeria na Toofan wa Togo.

Pamoja na kwamba Diamond hajawa mshindi wa tuzo hii, Watanzania wengi wamekua upande wake toka alipochaguliwa kuwania tuzo hizi na kumwambia hata kama hatoshinda, kuchaguliwa tu kushiriki BET ni zawadi ya kipekee na hatua kubwa kimuziki.

Namkariri Rais Jakaya Kikwete pia aliesema ‘Hata kama asiposhinda Diamond, yenyewe kuchaguliwa kwenye tuzo za BET ni hatua kubwa kimuziki’

UMEICHEKI VIDEO YA KALA JEREMIAH ALIYOMSHIRIKISHA MO MUSIC IKO HAPA

Inawezekana ikawa ndiyo wimbo wa kwanza kushirikishwa na msanii  kubwa baada ya kuchomoza na single yake ya Basi Nenda huyu ni Mo Music ambapo Tanzania imemtambua kwa singo yake ya Basi Nenda ambayo kupitia Clouds Fm Top 20 ni wiki ya 3 sasa imeshika nafasi ya kwanza.

Kala Jeremiah kamshirikisha kwenye single yake mpya iitwayo Simu ya Mwisho yeye pamoja na Nay wa Mitego,ambapo kupitia Exclusive Interview na Young luvega.com amesema saa chache baada ya kutoka kwa video hii baadhi ya waongozaji[director] wamemuomba kuitengenezea movie.

KUITAZAMA BONYEZA PLAY.












HIKI NDICHO KIASI CHA FEDHA AMBACHO KIMEKAMILISHA VIDEO YA WIMBO MPYA WA KEREWA YA SHETA

Muziki wa Tanzania umeendelea kutoa ajila kwa vijana wengi ambao baadhi yao wameamua kuwekeza
Sheta ni mojawapo ya vijana ambao wameamua kuwekeza katika muziki huo kwa kuthibitisha hilo nyimbo
yake ya kerewa kaenda kufanyia SOUTH AFRICA

Kupitia interview ambayo ameifanya na Young luvega.com amekubali kutaja kiasi cha pesa ambacho ukiacha mambo mengine imeghalimu millioni 25
 Yah ambapo kumchukua Director God Father peke yake imeghalimu million 19 vilevile kukaa hotelini
imeghalimu kama 450000 ila namshukulu mungu kila
kitu kimeenda kama nilivyotaka.










LIST YA WACHEZAJI 16 AMBAO WANAONGOZA KWA MAGORI KOMBE LA DUNIA


Michuano ya kombe la dunia imefiki hatua ya 16 bora.Huku ikionekana ni michuano ambayo 
ina magoli mengi mpaka hatua hii magoli 150 yameingia wavuni.Mshambuliaji wa colombia
JAMES RODRIGUEZ ndio anaongoza mpaka sasa ana magoli matano Akifuatiwa na Neymer,
Mess na Muller ambapo wote wana magoli manne kila mmoja huku wakifuatiwa na Arjen Robben,Van persie na Benzema ambapo wote wana magoli matatu.

LIST  KAMILI YA WAFUNGAJI BORA WORLD CUP

UMEISIKIA HII INAYOUSU MKATABA WA YOUNG KILLER NA MENEJA WAKE MONA GANGSTAR


Mkataba wa Young killer pamoja na meneja wake ambaye vilevile ni produce wake Mona Gangstar,inawezekana huko
mwishoni ingawa unaisha december mwezi huu ingawa taarifa hazina huakika.


Alichokisema diamond baada ya kukosa tuzo

Hii ndio kauli ya diamond baada ya davido kutwaa tuzo ya BET.Amewashuku watanzania na mashabiki wake duniani kote kwa kumsapoti hadi kufika pale alipofikia ingawa hakubahatika kupata tuzo yoyote ya kimataifa kwa  mwaka huu.