Kutoka Mwanza anaitwa Barakah Da Prince Mwanzoni ulimsikia na wimbo wa Jichunge ambao video yake ilifanywa na Director Nisher kutoka Arusha,leo July 02 ameamua kuachia wimbo wake ambao kasema ni zawadi maalum kwa mashabiki wake waliompokea vizuri na wimbo wa Jichunge.
Huu unaitwa Sio Fine amautoa wakati akijiandaa na single yake maalum itakayotoka October, wimbo huu uliwahi kusikia kwenye vituo vya Mwanza na kanda ya ziwa ila katika aina tofauti na hii,ingawa haukutoka rasmi kwa sasa ameamua kuurekodi upya na kwa kiwango bora zaidi ili uweze kuwafikia mashabiki wote wapya na wa zamani.
Bonyeza play kuusikiliza na kudownload.
Jumatano, 2 Julai 2014
Home »
» Zawadi kutoka kwa Barakah Da Prince – Sio Fine
Zawadi kutoka kwa Barakah Da Prince – Sio Fine
Related Posts:
Haya hapa majina yaliyoteuliwa na PAC kuandika maazimio ya kuwawajibisha watuhumiwa wa Escrow Baada ya Spika wa Bunge kuahirisha Bunge mara mbili siku ya leo Novemba 29 ili kuipa nafasi kamati ya PAC iweze kufanya marekebisho ya maneno yaliyoandikwa kwenye maazimio yaliyowasilishwa na Kamati ya PAC, … Read More
Kilichosemwa na Kamanda Kova na Waziri Lazaro Nyalandu kuhusu ajali ya Helikopta Taarifa ambayo imeripotiwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari ni kuhusu watu wanne kufariki kutokana na ajali ya Helikopta inayomilikiwa na Wizara ya Maliasili na Utalii, yenye namba 5HTWA kuanguka katika eneo la Kipun… Read More
DIAMOND PLATNUMZ ANYAKUA TUZO 3 ZA CH0AMA14 Tar 29 Noember ni siku ambayo imewekwa historia kwenye tasnia ya muziki wa bongo fleva baada ya Diamond Platnumz kuchukua tuzo tatu za chanel O, pia ni historia kwa Afrika nzima. Diamond alikua ametajwa kwenye vipengel… Read More
Hiki ndicho alichokiongea yule Msichana aliyempiga Mtoto Uganda. Baada ya story ya yule msichana kwa anayefanya kazi za ndani Uganda kuchukua headlines katika vyombo mbalimbali vya Kimataifa Duniani, leo kipo ambacho amekizungumza kwa mara ya kwanza tangu afanye kosa hilo. Msichana hu… Read More
Ifahamu idadi ya majeraha kwa Manchester United. Unapozungumzia suala la majeraha ya wachezaji bila shaka mashabiki wa Manchester United wanapata homa ya ghafla . Hii ni kwa sababu timu hii imekuwa na orodha isiyoisha ya wachezaji wenye majeraha . Mbaya zaidi ni kwamba ki… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni