Wachezaji wa Klabu ya Man city
Kocha wa Manchester City Manuel 
Pellegrini amesema ushindi wa timu yake dhidi ya Southampton 
unadhihirisha kikosi chake ni imara kuweza kukabiliana na Chelsea katika
 mbio za kuusaka ubingwa wa ligi ya England.
Kwa ushidi wa mabao 
3-0 dhidi Southampton siku ya jumapili, Machester city imepanda hadi 
nafasi ya pili wakiwa na pointi sita nyuma ya vinara Chelsea.Pellegrin amewamwagia sifa kem kem wachezaji wake kwa kuwa na moyo wa kujituma wakiwa uwanjani hali iliyozaa matunda hayo.





