Watoto elfu 250 huenda wakafa kwa njaa Sudan
Mshirikishi mkuu wa shirika la Umoja wa mataifa nchini Sudan Kusini,
Toby Lanzer, amesema kuwa takriban watoto laki mbili u nusu wamo katika
hatari ya kufa katika kipindi cha miezi kadhaa ijayo iwapo mashirika ya
utoaji misaada, hayatafikisha misaada kwa watu walio na mahitaji.
Wafuasi wa Rais Salva Kiir na mpinzani wake Riek...
Ijumaa, 29 Mei 2015
Ni Diamond Platnumz tena kwenye Headlines time hii kamshirikisha Mr. Flavour
Hii ni kolabo nyingine kutoka kwa Mtanzania Diamond Platnumz ambayo hii kamshirikisha mkali kutoka Nigeria Mr.Flavour wimbo unaitwa Nana,video imefanywa na GodFather mtu wangu.
Diamond Platnumz ametumia dakika hizi tatu kumuimbia mrembo aliye mbele ya macho yake,unaweza kumuandikia chochote hapa Diamond kisha baadae atapita na kusoma comment yako mtu wangu.
...