Weekend hii katika mitandao ya kijamii kumesambaa video inayomuonyesha
malkia wa filamu nchini Wema Sepetu akiliwa denda na model Calisah.
Wawili hao ambao walitumia nguvu nyingi kufanya siri mahusiano yao,
wameumbuka kupitia video hiyo iliyosambaa katika mitandao ya kijamii.
Akiongea na Bongo5 Jumatatu hii, Calisah amesema hajui ni nani ambaye
amesambaza video hiyo mtandaoni kwani walikuwa nayo yeye pamoja na Wema.
“Nilikuwa nachati na Wema kawaida ghafla nikaona notification, kufungua
ndio nikakuta hiyo video na mimi ndio nilikuwa mtu wa kwanza kumuuliza
Wema kwa sababu video nilikuwa nayo mimi na Wema,” alisema Calisah.
Pia model huyo amedai video hiyo imemsababishia matatizo katika familia yake pamoja na kumpoteza bibi yake kwa presha.
Ijumaa, 18 Novemba 2016
Home »
» Model Calisah Afunguka Baada ya Kusambaa Kwa Video yake Akimla ‘Denda’ Wema Sepetu
Model Calisah Afunguka Baada ya Kusambaa Kwa Video yake Akimla ‘Denda’ Wema Sepetu
Related Posts:
Mtoto huyu ameweza kuishi kwa miaka 12 na virusi vya Ukimwi bila kutumia dawa yoyote! Nimekutana na stori mmoja kutoka Ufaransa inayomhusu mtoto wa miaka 18 aliyeweza kuishi na Ukimwi kwa miaka 12 bila kutumia dawa zozote wala vidonge vyovyote vya ARV. Kitendo hiki kimeweka headlines… Read More
Ni Diamond Platnumz tena kwenye Headlines time hii kamshirikisha Mr. Flavour Hii ni kolabo nyingine kutoka kwa Mtanzania Diamond Platnumz ambayo hii kamshirikisha mkali kutoka Nigeria Mr.Flavour wimbo unaitwa Nana,video imefanywa na GodFather mtu wangu. Diamond Platnumz ametumia dakika hizi tatu&nb… Read More
Watoto elfu 250 huenda wakafa kwa njaa SudanWatoto elfu 250 huenda wakafa kwa njaa Sudan Mshirikishi mkuu wa shirika la Umoja wa mataifa nchini Sudan Kusini, Toby Lanzer, amesema kuwa takriban watoto laki mbili u nusu wamo katika hatari ya kufa katika kipindi cha m… Read More
FROLA MBASHA AKIRI MWANAE SI WA EMMANUEL MBASHAOHOOO! Kimenuka tena. Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha amesema mwanaye mdogo (jina linahifadhiwa) hahusiani hata kidogo na aliyekuwa mumewe, Emmanuel Mbasha huku akidai kuwa anamtambua mwanaume huyo kama mzazi mw… Read More
IRELAND YAFANYA MAAMUZI KUHUSIANA NA NDOA ZA JINSIA MOJAwapiga kura wajitokeza kwa wingi nchini Ireland ili kuamua kuhusu kuhalalishwa kwa ndoa za watu wa jinsia moja. Wapiga kura wengi wameripotiwa kujitokeza kwenye kura ya maoni nchini Ireland ya kuamua iwapo ndoa za watu w… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni