Jumamosi, 6 Desemba 2014
Home »
» Rapper mwingine wa TZ aliyetunukiwa shahada ya kwanza chuo kikuu
Rapper mwingine wa TZ aliyetunukiwa shahada ya kwanza chuo kikuu
Rapper kutokea Unity Entertainment Stereo ambaye ameachia wimbo wake
uitwao ‘Wako’ aliomshirikisha muimbaji wa Kenya,Victoria Kimani leo Des 6
ameongezewa CV yake ya Elimu baada ya kutunukiwa shahada ya ‘Bachelor of Science in Urban and Regional Planning’ kutoka chuo kikuu cha Ardhi Dar es Salaam.
Related Posts:
Siku 30 za Kuwa Madarakani Kama Rais , Magufuli Aokoa Sh1trilioni Rais John Magufuli leo ametimiza mwezi mmoja tangu alipoapishwa kushika wadhifa huo huku akiweka rekodi ya kuokoa kiasi cha Sh997.4 bilioni (karibu Sh 1trilioni) ambazo zilikuwa zitumike kwa matumuzi yasiyo ya la… Read More
Nina Wasiwasi na Naibu Spika Kama Atalihimili Bunge Hili Sina wasiwasi ni elimu yake wala uwezo wake wa kujieleza, ila nina wasiwasi na hekima yake na busara zake kama zinaweza kustahimili mikiki mikiki ya bunge kama alivyoonyesha Anne Makinda. Nafikiri wote tunaujua uwezo wa… Read More
Alikiba Atolea Ufafanuzi Post ya ‘Utata’ Aliyoandika Instagram, na Ampongeza Diamond Kwa Ushindi wa AFRIMA Alikiba ametolea ufafanuzi post yake ya Instagram iliyozua mjadala kwa mashabiki mbalimbali wa muziki ambao waliipokea kwa hisia tofauti. Siku ya Jumatatu Nov.16 Muimbaji huyo wa single mpya ‘Nagharamia’ aliandika, “Asan… Read More
Wazanzibari Wanaoishi Uingereza Waandamana Wakitaka Maalim Seif Sharif Hamad Atangwe mshindi wa Kiti cha Urais Wazanzibari wanaoishi nchini Uingereza jana walifanya maandamano wakidai haki ya kutangazwa ushindi wa Chama Cha Wananchi (CUF) katika uchaguzi mkuu wa Zanzibar uliofanyika Octoba 25 mwaka huu Maandamano ha… Read More
Wabunge: Magufuli Futa Wakuu wa Wilaya na Mikoa BAADHI ya wabunge kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM) kutoka mkoa wa Dodoma wamemshauri Rais John Magufuli kuondoa nafasi za Ukuu wa Mikoa na Wilaya na badala yake kazi hizo zifanywe na Makatibu tawala wa mikoa na … Read More
0 comments:
Chapisha Maoni