Kuna vitu vingi ambavyo unaweza kutumia kwa manufaa yako ili kufanya 
wanawake wakuone unavutia. Amini usiamini, hivi vitu si lazima uwe 
tajiri wala uwe na urembo wowote. Mwanzo kati ya vitu hivyo vingi ni 
rahisi kuvitumia kwa urahisi. Hii hapa ni orodha ya mambo ambayo 
ukiyazingatia yatakufanya wewe uwe na mnato kwa mwanamke yeyote yule.
1. Uwezo wako wa nishati
Nishati inaweza kuwa na mkusanyiko wa vitu kadhaa, kama vile kuhisi kwa 
vipepeo ndani ya tumbo, kusuka, wasiwasi ama vitu tofauti kabisa. Kwa 
mtizamo wa moja kwa moja, nishati inahusiana na yote yale ambayo 
yanamfanya mwanamke kujiskia raha wakati anapokuona ama kutaka kuutumia 
muda wake mwingi akiwa na wewe. Nishati inacheza nafasi kubwa katika 
mapenzi kama wataka kumtongoza mwanamke na ufaulu kwa urahisi. Ili 
kupeana nishati zaidi kila wakati unapokuwa na mwanamke, hakikisha kile 
kikuu unachohitaji kufanya ni kumchekesha, kumsapraiz, umguse kwa bahati
 mbaya mara kwa mara, kuwa mwenye michezo nk. Zote hizo zitamfanya 
kukufikiria wewe mara 24/7.
2. Mbinu utakayoitumia kumsifu
Kulingana na utafiti kutoka NBC unadai ya kwamba wanawake wengi 
hawajiskii huru kupewa ama kupokea sifa kutoka kwa wanaume. Lakini 
usikatwe na tamaa! Vile ambavyo utampongeza mwanamke inaweza kucheza 
pakubwa kufaulu kumpata mwanamke unayempendae baada ya muda. Afterall 
ukimsifu kitofauti tofauti anaweza kukubali ama kukuona kama wewe ni 
mzaha kwake. So kuhepa aibu kama hizi ndogo ndogo, unafaa umsifu 
mwanamke kwa jambo ambalo ni la kwake pekee, yaani kitu ambacho utamsifu
 nacho hakipatikani kwa mwingine. Mfano waweza kumakinika kwa kitu 
ambacho anafanya wakati flani na utumie ujuzi wako wa kiume kumsifia na 
jambo hilo. Mfano unaweza kumsifu kwa uwezo wake wa kuimba, kuchora, 
mtindo wake wa kutembea nk. [Soma: Mbinu ya kutongoza kwa wale 
wanaojifunza]
3. Upambo wako
Si lazima uwe mwanamume wa kuvutia ili umvutie mwanamke. Utafiti 
umebainisha kuwa wanawake hawavutiwi na urembo wa mwanamume, nywele zake
 wala ngozi yake. Mwanzo kuwa mrembo kama mwanamume kuna ubaya wake 
mwingi ikizingatiwa kuwa unaweza kuonekana kama pleya ambaye unapendwa 
na wanawake wengi.
Kile ambacho unachohitajika hapa ni uhakikishe kuwa uwe nadhifu kimwili 
na mavazi yako. Kufanya hivi kutakusaidia wewe kuonekana mtu timamu 
halikadhalika inakufanya wewe kuwa na confidence ya kapproach demu 
yeyote yule.
4. Ujuzi wako wa kutangamana
Lazima atleast uwe na ujuzi ambao utakusaidia wewe kuweza kutangamana na
 wengine. Kama mwanamume lazima uwe na ujuzi ambao utakusaidia wewe 
kutangamana na wengine kwa urahisi. Hii inamaanisha kuwa lazima uwe na 
ujuzi flani wa kuongea na wanawake ndipo utakapojua jinsi ya kumfanya 
apagawe na wewe.
5. Kiwango chako cha kujiamini
Kitu cha mwisho ambacho ni muhimu kwako kuwa nacho ni kujiamini. 
Kujiamini ni njia moja wapo ya lazima uwe nayo ili uweze kuiteka hisia 
ya mwanamke yeyote yule.[Soma: Njia za kuwa na confidence kama mwanaume]
KUMBUKA: Vitu vyote tulivyoeleza hapo juu havitakuwa na manufaa yeyote 
yale iwapo kama hutaweza kujiamini kama mwanamume. Hivyo ni lazima kwako
 kuhakikisha kuwa mwanzo unajijenga kwa kuwa na confidence. Hii ni 
kuanzia kujitambua wewe mwenyewe bila kujishuku, kuongea bila woga 
wowote wala kutoingiwa na wasiwasi wakati wowote ukiwa karibu na 
mwanamke.