Mtandao kumekuwa na Gumzo kuhusu kauli ya Kamanda Mambosasa na RPC wa
Iringa kutofautina kuhusu kupatiikana kwa Abdul Nondo Mwanafunzi
aliyedaiwa Kutekwa, Kamanda Mambosasa alisema Abdul Nondo alikutwa
akiendelea na Shughuli zake, na RPC wa Iringa alisema Nondo alienda
kuripoti Kituoni Mwenyewe.
0 comments:
Chapisha Maoni