Rihanna anasema yeye ni kama wanawake wengine kiasi cha kuwa na hamu ya
kufanya mapenzi na kwamba hajavunja amri ya sita kwa muda mrefu sasa.
rihanna-cover
Akiongea kwenye jarida la Vanity Fair, Rihanna alisema hawezi tu kufanya mapenzi na mtu ambaye hajamuingia moyo.
Haya ndio aliyoyasema:
If I wanted to I would completely do that. I am going to do what
makes me feel happy, what I feel like doing. But that would be empty for
me; that to me is a hollow move. I would wake up the next day feeling
like s–t,” she shared. “That’s why I haven’t been having sex or even
really seeing anybody. Because I don’t want to wake up the next day
feeling guilty. I mean I get horny, I’m human, I’m a woman, I want to
have sex. But what am I going to do—just find the first random cute dude
that I think is going to be a great ride for the night and then
tomorrow I wake up feeling empty and hollow? He has a great story and
I’m like … what am I doing? I can’t do it to myself. I cannot. It has a
little bit to do with fame and a lot to do with the woman that I am. And
that saves me.”
Kwenye mahojiano hayo pia, Rihanna alizungumza uhusiano wake na Chris
Brown. “Nilikuwa msichana yule,” alisema Rihanna kueleza kwanini
alimrudia Chris Brown licha ya kumjeruhi vibaya mwaka 2009.
“Msichana yule aliyehisi maumivu makali kama uhusiano huu ulivyokuwa,
pengine watu wengine wameumbwa kuwa na nguvu kuliko wengine. Pengine
mimi ni miongoni mwa wale watu ambao wameumbwa kumudu mambo kama haya.
Pengine mimi ni mtu ambaye ni kama malaika wa ulinzi kwa mtu huyu,
kuwepo pale wanapokuwa hawajiwezi, pale wanaposhindwa kuielewa dunia,
pindi wanapohitaji tu mtu wa kuwapa moyo katika njia chanya na kusema
mambo sahihi.”
Rihanna anadai alidhani angembadilisha Breezy.
“Kwa asilimia mia. Nilikuwa nikimtetea sana,” alieleza Rihanna.
“Nilihisi kwamba watu walikuwa hamwelewi. Lakini unajua, unagundua
baada ya muda kuwa katika mazingira hayo wewe ndiye adui. Unataka mambo
mema kwao, lakini unapowakumbusha kuhusu waliyokosea, ama kama
ukiwakumbusha vipindi vibaya katika maisha yao, ama tu ukisema nipo
tayari kuvumilia jambo fulani, hawakufirii – kwasababu wanajua
haustahili kile wanachoenda kukupa.”
Pamoja na hayo, Rihanna amesema hamchukii CB.
“Nitamjali mpaka siku nakufa. Sisi sio marafiki lakini si kwamba ni maadui. Hatuna uhusiano mkubwa sasa.”
Alhamisi, 15 Oktoba 2015
Home »
» Rihanna:NINA HAMU YA KUFANYA MAPENZI LAKINI.......(PICHA)
Rihanna:NINA HAMU YA KUFANYA MAPENZI LAKINI.......(PICHA)
Related Posts:
UCL: PSG walivyoivunja rekodi ya Barcelona msimu huu – Beyonce na Jay Z wakishuhudia Mwanasoka wa kibrazil David Luiz jana usiku alikuwa mchezaji wa kwanza kuifunga goli FC Barcelona katika msimu mpya wa soka barani ulaya. Luiz alifunga goli hilo katika dakika ya 11 ya mchezo wa Champions League kati ya… Read More
HII NI KUHUSU WANAJESHI KUPIGANA NA POLISI TARIME JUZI, WANGAPI WAMEUMIA? KISA? Hii ni taarifa kutoka Tarime mkoani Mara ambako watu 12 wamejeruhiwa wakati wa mashambulizi ya kurushiana risasi kati ya askari wa JWTZ kituo cha Nyandoto na polisi wa kituo cha stendi. Kwa mujibu wa magazeti ya Ni… Read More
AL-SHABAAB WAPATA PIGO SOMALIA Wapiganaji wa kundi la Al-Shabaab Wanajeshi nchini Somali wameidhibiti milima ya Galgala kutoka kwa wapiganaji wa kundi la Al-Shabaab,kulingana na utawala wa eneo hilo. Wanamgambo hao walikuwa wakiidhibiti mi… Read More
UCL: Matokeo ya Man City vs AS Roma na rekodi mpya aliyoiweka Totti Mabingwa wa ligi kuu ya Uingereza klabu ya Manchester City imeendelea kutopata matokeo chanya katika michuano ya ligi ya mabingwa wa ulaya kwa mara ya pili mfululizo msimu huu. Wakicheza kwenye uwanja wao wa Etihad dhidi … Read More
Tangazo la biashara lazua zogo China Polisi wanachunguza ikiwa kampuni hiyo ilivunja sheria ya matangazo ya biashara Kampuni moja nchini China inakabiliwa na tisho la kutozwa kiwango kikubwa cha faini kwa kuwakodi wanawake kuvua nguo zao kwenye … Read More
0 comments:
Chapisha Maoni