Home »
» UCL: Matokeo ya Chelsea vs Sporting Lisbon haya haya
Usiku wa jana watu wawili waliowahi kuwa vipenzi vya nchi ya Ureno –
Jose Mourinho na Nemanja Matic walirejea nchini humo katika jiji la
Lisbon lakini safari hii wakiwa kama wapinzani.
Huku Mourinho akionekana kuchukua ‘attention’ yote ya vyombo vya habari ndani ya jiji Lisbon, Nemanja Matic alikuwa kasahaulika.
Lakini katika dakika ya 34, mchezaji huyo wa zamani wa Benfica aliifungia goli pekee Chelsea katika mchezo huo.
Matic alifunga goli hilo kwa kichwa baada ya kuachwa bila kukabwa vizuri na mabeki wa Sporting Lisbon.
Mchezaji wa zamani wa Manchester United Luis Nani alikuwa akiitumikia
Sporting jana na hakuwa kwenye kiwango kizuri katika kipindi cha kwanza
– kipindi cha pili alijitahidi lakini akashindwa kubadili matokeo ya
mwisho dhidi ya vijana wa Jose Mourinho.
Takwimu na timu zilizopangwa
Sporting (4-3-3): Patricio 7; Cedric 6, Mauricio 5.5 (Oliveira 63, 6),
Sarr 5, J.Silva 5; Mario 6, Carvalho 6, A.Silva 6 (Montero 81); Carrillo
6.5 (Capel 81), Slimani 6, Nani 6.
Subs not used: Marcelo, Jefferson, Martins, Rosell.
Bookings: Carvalho, Mario, Cedric, Mauricio
Manager: Marco Silva
Chelsea (4-2-3-1): Courtois 6; Ivanovic 6, Cahill 6, Terry 6, Luis 6.5;
Matic 8, Fabregas 7; Schurrle 5 (Willian 57, 6), Oscar 7.5 (Mikel 71,
6), Hazard 7 (Salah 84); Costa 6.
Subs not used: Cech, Zouma, Azpilicueta, Remy.
Bookings: Ivanovic, Hazard, Luis Filipe, Fabregas
Manager: Jose Mourinho.
Related Posts:
Harmonize: ‘Directors’ wa Video Kutoka South Africa, Wanatuheshimu Sana Wasanii Kutoka Tanzania.
Chipukizi
wa Bongo flava anayeunguruma poa na hit yake ‘Aiyola’, Harmonize
amesema waongozaji wa video za muziki kutoka Afrika kusini huwa
wanaonesha heshima ya hali ya juu wanapokutana na wasanii kutoka
Tanzania.
… Read More
Kanye West Ametumia zaidi ya Milioni 130 Kuuzuia Mkanda wa ‘Ngono’ Kusambaa, Mkanda Huo Umemuhusisha Nani?
Star
wa hip hop nchini Marekani, Kanye West, ameamua kutoa kiasi cha dola
milioni 130, kwa ajili ya kuzuia mkanda wa ngono wenye picha
zinazofanana na mke wake usiingie sokoni.
Kwa
mujibu wa mtandao w… Read More
Tibaigana Afunguka...Huyu Ndiye Rais Niliyemtaka
Aliyekuwa Kamanda wa Polisi Kanda
Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna mstaafu Alfred Tibaigana amesema Rais
John Magufuli amepatikana wakati sahihi, kwa kuwa nchi inamhitaji
kiongozi ambaye akitoa amri inatek… Read More
Katibu Mkuu Tamisemi Akagua Miundombinu ya Mfumo wa Mabasi Yaendayo Haraka
WATOA
huduma katika kipindi cha mpito cha mradi wa mabasi yaendayo haraka
jijini Dar es Salaam, kampuni ya UDA-RT wameihakikishia serikali na
wananchi kuwa matayarisho yanaendelea vizuri tayari kwa huduma hi… Read More
Rungu la TRA Yalishukia BAKWATA...Magari 82 Yaingizwa Kwa Jina lao Bila Kulipiwa Kodi..Watwangwa Barua Nzito
Rungu la TRA Yalishukia BAKWATA...Magari 82 Yaingizwa Kwa Jina lao Bila Kulipiwa Kodi..Watwaga Barua Nzito, Isome HApa chini:
… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni