Msanii Nuh Mziwanda ambaye kwa sasa anafanya poa na wimbo wake mpya ambao amemshirikisha Alikiba amefunguka na kusema kuwa hata kama ikitokea mpenzi wake huyo wa zamani akitaka kurudiana na yeye ni kitu kisichowezekana kwa sasa.
Akizungumza kwenye kipindi cha 5SELEKT kinachorushwa na ting’a namba moja kwa vijana Nuh Mziwanda amesema kuwa kwa sasa yeye amefunga ukurasa wa mapenzi na Shilole hivyo hata ikitokea akataka kurudiana na yeye hawezi kufanya hivyo kwani ameshaanza maisha mapya ambayo anaona ni ya furaha zaidi.
Mbali na hilo Nuh Mziwanda ameeleza kuwa kwa sasa hataki tena maisha ya kiki na skendo alizoita kuwa ni za ajabu ajabu bali anataka kujenga jina lake kutokana na kazi zake kwenye muziki pamoja na kutengeneza muziki kama ‘Producer’
Ijumaa, 6 Mei 2016
Home »
» Nuh Mziwanda Afunguka Kuhusu Kurudiana na Shilole
Nuh Mziwanda Afunguka Kuhusu Kurudiana na Shilole
Related Posts:
Rekodi aliyoivunja Diamond Platnumz na kuiacha ya P Square . Tumeshazoea kuona baadhi ya mastaa wa Afrika wanapoweka video zao kwenye youtube wanapata views nyingi ndani ya siku chache lakini Good news time hii imeangukia kwa mkali wa Tanzania. Mmiliki wa… Read More
Picha ya kwanza ya mbrazil mpya wa Yanga mazoezini, je atafuzu majaribioWiki iliyopita nilikuletea taarifa juu ya ujio wa mchezaji mpya wa kimataifa wa klabu ya Yanga Emerson de Oliveira Neves Roque – mbrazil ambaye ameletwa nchini kuja kufanya majaribio na endapo ikifuzu basi ndio itac… Read More
Picha: Diamond Platnumz na Fally Ipupa kwa mara nyingine tena kwenye Mjengo wa BBA Hii ni mara ya pili kwa msanii Diamond Platnumz kualikwa ndani ya jumba la BBA akiwa na mwanamuziki kutoka Congo, Fally Ipupa ambapo wameshiriki chakula cha mchana pamoja na washiriki waliobaki kwenye Jumba hilo, … Read More
Baada ya ishu ya Escrow, haya ni majibu mawili ya Waziri Mkuu Pinda ikiwemo kujiuzulu Kikao cha Bunge leo Novemba 27 kimeanza kwa maswali mawili kuulizwa na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni Freeman Mbowe kwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda. “…Chini ya uongozi wako kama Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa T… Read More
Kipa wa Chelsea yuko sokoni. Klabu za Arsenal , Liverpool na Real Madrid ziko kwenye vita kali ya kuwania kumsajili kipa wa Chelsea Petr Cech . Chelsea inaalzimika kumuuza kipa huyo kwa kuwa hana nafasi ya kudumu kwenye kikosi cha kwanza baada ya kur… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni