Jumanne, 20 Septemba 2016

MWANAMZIKI DIAMOND PLATNUMZ KUVUNJA REKODI YAKE MWENYEWE

Kanichambua kama karanga mama. Chambua kama karangaaa Good morning mabibi na mabwana. Inatia moyo sana kuona msanii kutoka bongo land anaweka rekodi na kuivunja mwenyewe. Mpaka sasa hakuna msanii yeyote barani afrika ambaye Video zake zinatizamwa na watu wengi ndani ya muda mfupi kama Mondi Platnumz. Sio kuwa tunajivunia Viewers ila tunajivunia Mziki wetu...

Nyie ni Wanafiki Wema Sepetu- Sitaki Kusikia Team Wema, Niacheni na Maisha yangu Wengi Nyie ni Wanafiki

Muigizaji maarufu nchini asiyekaukwa na scandal, wema Isaac sepetu, hivi karibuni ameibuka na kuwataka wote wanaotumia mitandao ya kijamii kumsapoti( team wema) kuanzia Leo waache kwani hawajui na wamekua wakimuaribia sana maisha yake, mrembo huyo aliendelea kutiririka kuwa team hizo zimekua zikimgombanisha na watu wengi na kuwa asilimia nyingi ni wanafiki,...

ZITTO, KAFULILA WAMTWISHWA MZIGO WA ESCROW RAISI MAGUFULI

Wakati Baraza la Usuluhishi la Benki ya Dunia likitoa hukumu ya kutaka Tanesco kuilipa Benki ya Standard Chartered-Hong Kong (SCB-HK) Sh320 bilioni, wanasiasa wawili walioibua sakata hilo bungeni wamechachamaa wakimtaka Rais John Magufuli awafikishe mahakamani wote waliohusika katika sakata la escrow. Katika hukumu hiyo, Baraza hilo limeitaka Tanesco kulipa...

Ijumaa, 16 Septemba 2016

STAA WA GENK KATAJWA KATIKA LIST YA KIKOSI BORA CHA WIKI EUROPA, MAN UNITED HAKUNA

Usiku wa Septemba 15 2016 michuano ya Europa League ilichezwa barani Ulaya, klabu ya KRC Genk inayochezewa na mtanzania Mbwana Samatta ilicheza dhidi ya Rapid Wien ya Austria na kufungwa goli 3-2, magoli mawili ya Genk yalifungwa na Leon Bailey. Baada ya mchezo huo kumalizika Septemba 16 shirikisho la...

TOP 5: WATU MAARAFU ZAIDI DUNIANI KATIKA MITANDAO YA KIJAMAA

Mitandao ya kijamii ni miongoni mwa vitu vyenye nguvu na ushawishi mkubwa katika tasnia mbalimbali, leo Septemba 16 2016 naomba nikusogezee TOP 5 ya watu maarufu duniani kwenye mitandao ya kijamii ambapo ili uweze kujikusanyia watu ni lazima uwe na ushawishi na mvuto fulani kwa watu au kutokana na kazi yako nzuri. Katika TOP 5 hii jina la mwanaume...

Magazeti ya Tanzania September 17, 2016 kuanzia, Udaku, Hardnews na michezo

September 17 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @millardayo ili niwe nakutumia kila kinachonifikia. SOURCE:MILLAD...

MIMI SISHINDANI NA MTU YEYOTE - BARAKA THE PRINCE

Msanii Baraka The Prince ambaye ameachia kazi yake mpya yenye jina la 'Nisamehe' amefunguka na kusema kuwa katika muziki hakuna mtu ambaye anashindana naye kwa kuwa yeye anasimama mwenyewe na aina ya muziki anaofanya haufanani kabisa wasanii wa WCBBaraka The Prince alisema haya kupitia kipindi cha Planet Bongo na kudai kuwa muziki anayofanya yeye ni wasanii wachache...

KUTOKA BUNGENI: RAISI MAGUFULI KUHAMIA DODOMA RASMIMWAKA 2020

Leo Septemba 16, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuahirisha mkutano wa nne kwa Bunge la 11 uliodumu kwa muda wa wiki mbili, amesoma ratiba ya serikali kuhamia Dodoma.“Ili kufanikisha azma ya Serikali kuhamia Dodoma, tayari imeandaliwa ratiba itakayowezesha Serikali kuhamia Dodoma kwa awamu, kuanzia mwezi Septemba, 2016 hadi mwaka 2020, bila ya kuathiri...

WABUNGE WOTE WA CUF WAMKATAA PROFESA IBRAHIM LIPUMBA

Wabunge wote wa Chama cha Wananchi (CUF) wametangaza rasmi kutomtambua aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba. Wamemtaka Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi kutomkumbatia mwanasiasa huyo aliyebobea katika uchumi, ikielezwa kwa sasa hana sifa za kuwa mwenyekiti wa chama hicho, labda aanze upya mchakato. Wameeleza...

UKIFANYA HAYA MAMBO MAPENZI YATANOGA KWA ASILIMIA 90

Wanaume wengi hupuuzia hili, huona kama ni jambo lisilo na maana sana kwao na wenzi wao. Hali ni tofauti sana kwa wanawake ambao hupenda kuwasifia wanaume zao. Nitakupa mifano miwili ya namna wanandoa wa jinsia mbili tofauti wanavyotambulishana kwa jamaa zao. Kwa mafano manakutanata kwenye majumuiko ya harusi na sherehe kama hizo. Mme 1 akamtambulisha mkewe kwa jamaa...

KINYWAJI KILICHOPEWA JINA ‘Poteza Ubikira’ CHAZUA GUMZO CHINA

Kinywaji maarufu kwa jina ”blackout in a can’ nchini Marekani kimeingia nchini China na kuzua gumzo kwa watumiaji wa kinywa hicho.Four Loko , ni kinywaji kilicho na ladha ya matunda na asilimia 12 ya pombe kilitumika sana katika sherehe nchini Marekani kabla ya kuondolewa madukani katika majimbo kadhaa hadi pale viungo vyake viliporekebishwa.Na sasa kimepata umaarufu...

FIESTA YARUDISHA PENZI LA SHILOLE NA NUH MZIWANDA

Wapenda Kunyapia nyapia Udaku wa Mastaa wa Bongo wameachwa njia panda baada ya mastaa Nuh Mziwanda na Shilole kuanza tena kuwa karibu kwa kupostiana kwenye page zao za mitandaoni, Wawili hao ambao siku za njuma walikuwa wapenzi wa kupika na kupakuwa waliachana na kila mmoja kuchukua hamsini zake lakini msimu huu wa Tamasha la Fiesta inasemekana wamekuwa karibu kutoka...

RUBBY ATANGAZA KUJISIMAMIA MWENYEWE BAADA YA KUTEMANA NA CLOUDS FM, ADAI SASA NI YEYE NA MASHABIKI WAKE

Msanii wa Bongo Fleva, mwanadada Ruby ambaye amewahi kutamba na wimbo wake wa “Na Yule’ amefunguka na kusema kwa sasa amebadili uongozi wake na kujisimamia yeye kwani anataka kusimama yeye pamoja na mashabiki zake.Ruby alisema hayo kwenye kipindi cha eNewz na kudai kuwa yeye aliamua kubadili uongozi kwa sababu anataka kusimama yeye kama yeye kwenye muziki kwa kutegemea...

SERIKALI YAANZA MAZUNGUMZO YA KUWAOKOA MADEREVA 12 WALIOTEKWA CONGO

Serikali imeingilia kati na kuanza mazungumzo ya kuwaokoa madereva 12 wa malori kutoka Tanzania waliotekwa nchini Kongo (DRC) na kundi la waasi wa Mai Mai.loritanzaniaWaasi hao mbali na kuwateka madereva hao wametoa saa 24 kuanzia juzi saa 10 jioni walipwe fedha kiasi cha Dola za Marekani 4,000 kwa kila dereva ili waweze kuwaachia.Akizungumza na waandishi wa habari jijini...

SAKATA LA REDIO KUFUNGWA MAGIC FM YATAKIWA KUOMBA RADHI SIKU TATU MFULULIZO, REDIO 5 ZAFUNGIWA MIEZI

August 29 2016 Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Nape Nnauye alitangaza kuvifungia vituo viwili vya radio kwa muda usiojulikana ambavyo ni Magic Fm ya Dar es salaam na Radio 5 ya Arusha kwa makosa ya kutangaza na kutoa habari za kichochezi.Waziri Nape alielekeza kamati ya maudhui kuviita vyombo hivyo na kuwasikiliza kwa kina kisha kushauri hatua zaidi...