Muigizaji maarufu nchini asiyekaukwa na scandal, wema Isaac sepetu, hivi
karibuni ameibuka na kuwataka wote wanaotumia mitandao ya kijamii
kumsapoti( team wema) kuanzia Leo waache kwani hawajui na wamekua
wakimuaribia sana maisha yake, mrembo huyo aliendelea kutiririka kuwa
team hizo zimekua zikimgombanisha na watu wengi na kuwa asilimia nyingi
ni wanafiki, hivyo amewaomba wote wanajiita team wema waache mara moja
na waanze kutumia majina yao kwenye mitandao ya kijamii.
Jumanne, 20 Septemba 2016
Home »
» Nyie ni Wanafiki Wema Sepetu- Sitaki Kusikia Team Wema, Niacheni na Maisha yangu Wengi Nyie ni Wanafiki
Nyie ni Wanafiki Wema Sepetu- Sitaki Kusikia Team Wema, Niacheni na Maisha yangu Wengi Nyie ni Wanafiki
Related Posts:
Alichojibu Guardiola baada ya kuulizwa kama ataifundisha tena BarcelonaMiaka takribani mitatu baada kuacha kuifundisha klabu ya FC Barcelona, kocha Pep Guardiola amezungumzia kama ikitokea nafasi ya kurudi Nou Camp – atakubali kuifundisha timu hiyo. Akizungumza na gazeti la Mundo Depo… Read More
Rais Goodluck kugombea tena urais Rais Goodluck amekuwa akikosolewa kwa mamna anavyoshughulikia swala la Boko Haram Rais wa Nigeria Goodluck Jonathan amethibitisha rasmi kuwa atagombea tena kiti hicho mwaka ujao. Katika sherehe ya kufana katika mji … Read More
HATMA YA AFCON 2015 ? Shirikisho la soka barani afrika CAF limewaondoa mashindanoni waliokuwa wenyeji wa michuano ya AFCON Morocco baada ya taifa hilo kushikilia msimamo wake wa kutokuwa tayari kuandaa michuano ya AFCON mwaka 2015 kutokana na… Read More
Breaking Rapper Geez Mabovu amefariki dunia usiku huu Kabla mwaka 2014 haujaisha idadi ya watu maarufu wa Tanzania waliotangulia mbele za haki imezidi kuongezeka na hii ni baada ya taarifa kutoka Iringa zilizoanza kusambaa kuanzia saa tatu usiku November 11 2014. Taari… Read More
Taarifa kuhusu ajali ya moto ulioteketeza shule ya msingi. Hii sio picha halisi ya ajali ya moto huo. Moto mkubwa umeteketeza majengo ya Shule ya msingi Filbert Bayi na kisha kusambaa na kuteketeza mabweni yote ya Wanafunzi pamoja na madarasa. Mwenyekiti wa shule hiyo Filbert … Read More
0 comments:
Chapisha Maoni