Michuano ya kombe la dunia imefiki hatua ya 16 bora.Huku ikionekana ni michuano ambayo
ina magoli mengi mpaka hatua hii magoli 150 yameingia wavuni.Mshambuliaji wa colombia
JAMES RODRIGUEZ ndio anaongoza mpaka sasa ana magoli matano Akifuatiwa na Neymer,
Mess na Muller ambapo wote wana magoli manne kila mmoja huku wakifuatiwa na Arjen Robben,Van persie na Benzema ambapo wote wana magoli matatu.
LIST KAMILI YA WAFUNGAJI BORA WORLD CUP
Jumanne, 1 Julai 2014
Home »
» LIST YA WACHEZAJI 16 AMBAO WANAONGOZA KWA MAGORI KOMBE LA DUNIA
LIST YA WACHEZAJI 16 AMBAO WANAONGOZA KWA MAGORI KOMBE LA DUNIA
Related Posts:
Obama na vurugu za Marekani &nb… Read More
Man U na Arsenal zawika,Chelsea yazuiwa Mchezaji wa chelsea Wiilian akikabiliana na mwenzake wa Sunderland Mkufunzi Gus Poyet aliihangaisha timu ya Chelsea na kuwajaribu viongozi hao wa Ligi kupi… Read More
Man city wazidi kupanda Wachezaji wa Klabu ya Man city Kocha wa Manchester City Manuel Pellegrini amesema ushindi wa timu yake dhidi ya Southampton unadhi… Read More
FIFA:Madai mapya ya ufisadi yazuka Rais wa FIFA Sepp Blatter akimkabidhi rais wa Urusi Vladmir Putin Haki za kuandaa dimba la dunia la mwaka 2018 Madai zaidi yameibuka kuhusu ufisadi uliofanyika wakati wa shughuli ya kuwatafuta waandalizi wa … Read More
ESCROW:Spika adaiwa kuwalinda washukiwa Spika wa bunge la Tanzania Anne Makinda Speaker wa Tanzania Anne Makinda ameshtumiwa kwa k… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni