Home »
» Taarifa rasmi kutoka club ya Chelsea kuhusu Didier Drogba.
Utakua
uliziona tu zile headlines za mitandao na magazeti mbalimbali duniani
kuhusu uwezekano wa staa huyu wa soka Didier Drogba kurejea kuichezea
Chelsea baada ya Jose Mourinho kuonyesha nia ya kumrudisha.
Sasa taarifa rasmi iliyothibitishwa na Chelsea, mzaliwa huyu wa Ivory
Coast amerejea rasmi kwenye club hii kwa mkataba wa mwaka mmoja ambapo
wakati akitia saini, Drogba amesema ‘ulikua ni uamuzi rahisi kabisa wa
kuamua kufanya tena kazi na Jose Mourinho, kila mmoja anajua uhusiano
wangu na hii club… imekua ni kama nyumbani’
Jose Mourinho mwenyewe amesema ‘amerudi kwa sababu ni mmoja wa
wachezaji bora Ulaya, namjua vizuri… na amekuja kuiweka historia
nyingine’
Drogba ameifungia Chelsea magoli 157 kwenye mechi 342 alizotokezea.
Related Posts:
Rais Magufuli ametajwa kuwania tuzo ya ‘Forbes Africa Person of The Year’, ingia hapa kumpigia kura
Rais Dkt John Pombe Magufuli ametajwa kuwania tuzo ya ‘Forbes Africa Person of The Year.’
Anachuana na watu wengine wanne wakiwemo: Rais wa Mauritania, Ameenah
Gulib, Mwanzilishi wa Capitec Bank, Michiel Le Roux… Read More
Diamond Platnumz Awatupia Madongo Walio Kuwa Wanasema Hajanunua Nyumba South Afrika...Adai Uswahili wake Unamlipa
Diamond Jana amefika kwa mara ya kwanza kwenye nyumba ambayo alinunua South Afrika na Kuandika Yafuatayo....
"Asa kunya nakunya mie makalio yanawauma wengine, eti inahuu....? Wambie
wasininunie mie, wakazane....… Read More
Rais Magufuli Aongoza Kura Kuwania Tuzo ya ‘Forbes Africa Person of The Year’
Rais John Magufuli anaongoza kura za kuwania tuzo ya ‘Forbes Africa
Person of The Year’, ambayo hutolewa kwa watu walioonyesha mchango kwa
jamii.
Huku zikiwa zimebaki siku 21 kwa mshindi wa tuzo hiyo kuta… Read More
UKOCHA: Pluijm Amwaga Mboga Yanga
Usemi wa Waswahili kuwa, ukimwaga ugali, nami namwaga mboga umetimia kwa
klabu ya soka ya Yanga ambayo licha ya uongozi wake jana kukanusha
kuajiriwa kwa kocha Mzambia George Lwandamina na kuachana n… Read More
Jamaa Yake Amemwekea Tego, Msichana Yupo Tayari Kunipa Papucha ila Anaogopa Tutanasiana au Ntapata Tatizo
Nimempata dada mmoja mitaa fulani, ni mzuri sana na she is sexy.
Kiukweli tumependana nami nilivyomuona tu siku ya kwanza pale ofisini
nilimpenda nikaomba tuwe na ukaribu. Tukaanza ukaribu basi juzi juzi
hapa n… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni