Home »
» Huyu ndio msanii staa wa kimataifa anaekuja Fiesta Dar 2014.
Wakati
Tour ya Fiesta ikiwa inazunguka kwenye mikoa mbalimbali Tanzania ambapo
weekend hii ni Mbeya na Songea, ametangazwa msanii wa kimataifa ambae
ni rasmi atapanda kwenye stage ya Fiesta Dar es salaam October 2014
Leaders Club Kinondoni.
Rapper T.I ndio msanii wa kimataifa kwenye stage ya Fiesta October 18
2014 akiwa ni mkali ambae kwa sasa anamiliki chati za muziki kwa single
yake ya No Mediocre
Related Posts:
HATMA YA AFCON 2015 ?
Shirikisho la soka barani afrika CAF limewaondoa mashindanoni
waliokuwa wenyeji wa michuano ya AFCON Morocco baada ya taifa hilo
kushikilia msimamo wake wa kutokuwa tayari kuandaa michuano ya AFCON
mwaka 2015 kutokana na… Read More
Breaking Rapper Geez Mabovu amefariki dunia usiku huu
Kabla
mwaka 2014 haujaisha idadi ya watu maarufu wa Tanzania waliotangulia
mbele za haki imezidi kuongezeka na hii ni baada ya taarifa kutoka
Iringa zilizoanza kusambaa kuanzia saa tatu usiku November 11 2014.
Taari… Read More
Taarifa kuhusu ajali ya moto ulioteketeza shule ya msingi.
Hii sio picha halisi ya ajali ya moto huo.
Moto mkubwa umeteketeza majengo ya Shule ya msingi Filbert Bayi na
kisha kusambaa na kuteketeza mabweni yote ya Wanafunzi pamoja na
madarasa.
Mwenyekiti wa shule hiyo Filbert … Read More
Tanzania vs Uganda katika Kickboxing.
Mtanzania anayefanya vizuri kwenye mchezo wa kickboxing Emmanuel
Shija hivi karibuni ataipeperusha bendera ya Tanzania nchini Uganda
wakati atakapopanda ulingoni kupambana na Mganda Moses Golola katika
pambano la … Read More
Rais Goodluck kugombea tena urais
Rais Goodluck amekuwa akikosolewa kwa mamna anavyoshughulikia swala la Boko Haram
Rais wa Nigeria Goodluck Jonathan amethibitisha rasmi kuwa atagombea tena kiti hicho mwaka ujao.
Katika
sherehe ya kufana katika mji … Read More
0 comments:
Chapisha Maoni