Jumamosi, 29 Novemba 2014
Home »
» DIAMOND PLATNUMZ ANYAKUA TUZO 3 ZA CH0AMA14
DIAMOND PLATNUMZ ANYAKUA TUZO 3 ZA CH0AMA14
Tar 29 Noember ni siku ambayo imewekwa historia kwenye tasnia ya muziki wa bongo fleva baada ya Diamond Platnumz kuchukua tuzo tatu za chanel O, pia ni historia kwa Afrika nzima.
Diamond alikua ametajwa kwenye vipengele vinne. Vipengele hiyo ni pamoja na Most Gifted East Video, Most Gifted Afro Pop video na Most Gifted Newcomer.
Kwenye tuzo hizo Diamond amefanikiwa kuwapiku wasanii nguli wa Afrika wakiwemo Iyanya, Daido, Flavor, Mafikizolo na Sauti Sol.
"TANZANIA STAND UP! HE DID IT! @ diamondplatnumz", amepost Davido
0 comments:
Chapisha Maoni