Home »
» Hiki ndicho alichokiongea yule Msichana aliyempiga Mtoto Uganda.
Baada ya story ya yule msichana kwa anayefanya kazi za ndani Uganda
kuchukua headlines katika vyombo mbalimbali vya Kimataifa Duniani, leo
kipo ambacho amekizungumza kwa mara ya kwanza tangu afanye kosa hilo.
Msichana huyo Jolly Tumuhiirwe ambaye kwa sasa amekamatwa na Polisi amesema sababu iliyomfanya amtese mtoto Arnella Kamanzi, ni kutokana na kuchanganyikiwa baada ya waajiri wake kutompatia pesa ili amtumie baba yake ambaye alikuwa anaumwa.
Amesema anajiona mwenye hatia kwa alichokifanya japo anadhani
alifanya hivyo kama njia ya kumkanya mtoto huyo kwa kuwa alikuwa
akimuona mama wa mtoto huyo akimpiga kama njia ya kumkanya.
Jolly amelalamika kuwa anajisikia vibaya pale ambapo wafungwa wenzake wamekuwa wakimtenga sana na kutaka kumpiga.
Related Posts:
WANACHAMA 100 WA BOKO HARAM WAUAWA
jeshi la Nigeria
Jeshi la Nigeria linasema kuwa limewaua zaidi
ya wanamgambo 100 wa kundi la Boko Haram kufuatia shambulizi la
wapiganaji hao siku ya ijumaa kazkazini mashariki mwa jimbo la Borno.
Vikosi
vya ser… Read More
MFUNGWA AKUTWA NA SIMU MWILINI
Tatizo la kuingiza bidhaa kimagendo ndani ya magereza ya Kenya imekuwa kero kubwa kwa maafisa wa magereza.
Kwa baadhi ya watu simu ya mkononi ni kifaa tu
cha mawasIliano ilihali kwa wengine ni kifa ambacho kinaweza … Read More
WAATHIRIWA WA MABOMU MBAGALA WALALAMIKA
Nyumba iliyoharibiwa na bomu kama inavyoonekana.
Mkutano kati ya waandishi habari na Waathirika
wa Mabomu Mbagala, ambao umefanyika katika Viwanja vya Shule ya Msingi
Mbagala Kuu ,jijini Dar-Es-Salaam mapema leo .
Waathi… Read More
Shearer asema Welbeck atang'ara Arsenal
Mshambuliaji wa Arsenal Danny Wellbeck kushoto
Mshambuliaji mpya wa kilabu ya Arsenal Danny
Welbeck anaweza kufunga mabao 25 kwa msimu mmoja ,hayo ni matamshi ya
aliyekuwa … Read More
UGANDA YAHARIBU SHAMBULIZI LA KIGAIDI
Vikosi vya usalama nchini Uganda
Maafisa wa polisi nchini Uganda wameimarisha
usalama katika maeneo mengi ya uma katika mji mkuu wa Kampala kufuatia
kukamatwa kwa washukiwa kadhaa wa makundi ya kigaidi na vil… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni