Mwenyekiti wa shule hiyo Filbert Bayi
amesema moto huo ulianza saa nane usiku katika bweni la wanafunzi wa
kike na kisha kusambaa shule nzima kutokana na gari za zimamoto
kuchelewa kufika mapema.
Hakuna mwanafunzi yoyote aliyejeruhiwa wala kudhurika kutokana na moto huo.
Kamanda wa Polisi mkoani Pwani kamishna
mwandamizi wa Polisi Litrichi Matei amethibitisha kutokea kwa tukio hilo
na kueleza kuwa taarifa kamili juu ya chanzo cha moto huo zitatolewa
baada ya uchunguzi kukamilika.
Bonyeza play kusikiliza taarifa iliyoripotiwa na televisheni ya TBC 1 kuhusu ajali hiyo.
0 comments:
Chapisha Maoni