Ni moja kati ya wasanii waliofanya vizuri katika tasnia ya muziki wa Tanzania kwa mwaka 2014 toka Kilimanjaro.Ramjey ndo jina lake katika sanaa akiwa amemshirikisha Rita ngoma yake inakwenda kwa jina la Sijajua kosa langu ambayo imefanywa na producer Malwo kutoka studio ya Sunlight.Ni msanii ambae amejaaliwa sauti nzuri na anaitendea haki kwa ngoma kali aliyoiachia hivi karibuni.Ili kuiskiliza ngoma ya huyu mkali toka Kilimanjaro mkoa ambao haubahatishi katika muziki DOWNLOAD hapa chini ili uweze kusikiliza.
Jumanne, 2 Desemba 2014
Home »
» NI MSANII ANAEKUJA VIZURI KUTEKA SANAA YA MUZIKI TANZANIA TOKEA KILIMANJARO
NI MSANII ANAEKUJA VIZURI KUTEKA SANAA YA MUZIKI TANZANIA TOKEA KILIMANJARO
Related Posts:
RAIS DKT MAGUFULI ATEUA MABALOZI SITA KUWAKILISHA TANZANIA NCHI MBALIMBALI … Read More
LADY Jay Dee Arusha Jiwe Kigazani Baada ya Kauli ya Ruge Kuwa Walishamalizana Wiki iliyopita, Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba, alidai kuwa vituo vyake vinaweza kuanza kucheza kazi za Lady Jaydee iwapo akiwaruhusu wafanye hivyo. Kupitia Instagram, … Read More
Mchungaji Anthony Lusekelo maarufu 'Mzee wa Upako' Afunguka Kuhusu Sakata la Kuwatukana Majirani Zake Siku tatu baada ya kudaiwa kumfanyia fujo jirani yake, Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo maarufu Mzee wa Upako, amejibu tuhuma hizo akisema anaishi kana kwamba hana jirani.“...Tunaishi kam… Read More
Gambia bado kwa moto, Adama Barrow kaapishiwa Urais akiwa nje ya nchiAdama Barrow ambaye ni mwanasiasa wa upinzani ambaye inaaminika ndie mshindi wa uchaguzi wa Urais Gambia ameapishwa kuwa Rais wa Gambia japokua uapisho wake umefanyika nje ya taifa hilo. Uapisho umefanyika Senegal kwenye ubal… Read More
Angalia Thamani yako, Yanini Kumng’ang’ania Asiyekupenda? Ili mapenzi yaweze kuwa bora kwa kila aliye katika mahusiano, huwa ni vyema kila mmoja kuiona thamani ya mwenzake. Ukipenda kujiangalia mwenyewe si ajabu mwenzako kupata hisia za kuwa humthamini wala humj… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni