Tumeshazoea kuona baadhi ya mastaa wa Afrika wanapoweka video zao
kwenye youtube wanapata views nyingi ndani ya siku chache lakini Good
news time hii imeangukia kwa mkali wa Tanzania.
Mmiliki wa hit single ya ‘Mdogo Mdogo’ Diamond Platnumz ameipiku
video ya wakali wa Nigeria P Square baada ya kupata views nyingi ndani
ya siku nne.
Video ya P Square ‘Shekini’ iliyowekwa youtube Nov 17 ina views
286,165 huku Diamond ambaye video yake ‘Nitampata Wapi’ iliyoweka Nov
20 ina views 354,910.
Jumapili, 23 Novemba 2014
Home »
» Rekodi aliyoivunja Diamond Platnumz na kuiacha ya P Square
Rekodi aliyoivunja Diamond Platnumz na kuiacha ya P Square
Related Posts:
Mwana FA Aleta Msiba Mkubwa Kwa Kina Dada wa Mjini Kwa Huu Wimbo Wake Mpya...Dume Suruali ft. Vanessa Mdee Jana Mwana Fa ameachia ngoma yake ambayo ni mwiba mchungu kwa kina dada wa mjini wanaopenda na kuishi kwa kuombaomba. Ngoma inaitwa Dume Suruali.Nihonge nanunua nini? Kwa nini yani? Kwa kipi nsichokijua ina TV nda… Read More
Kajala: Sijawahi Kuwa na Mahusiano ya Kimapenzi na Paul Makonda Msanii wa filamu za kibongo, Kajala Masanja amevunja ukimya na kufunguka kuhusu maneno yaliyokuwa yanazunguka mwa muda mrefu mitaani yakimtaja kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa nyakati tofauti na Mkuu wa Mkoa wa… Read More
Bibi Mbaroni Kwa Kumlisha Kinyesi Mjukuu Wake MWANZA: BIBI mmoja aliyejulikana kwa jina la Amina Hamisi (56) mkazi wa Mtaa wa Mahina, Kata ya Butimba, Jijini Mwanza, anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani humo baada ya kumlazimisha mjukuu wake Rehema Sadiki (7)… Read More
Chemical: Kwanini Watu Wanashindwa Kuamini Kuwa Mimi ni Bikira? Rapper wa kike mwenye swaga za hatari Chemical amesema anashangazwa kwa kitendo cha baadhi ya watu wanaompinga kuwa hajawahi kufanya mapenzi.Hitmaker huyo wa ‘Am Sorry Mama’ amekiambia kipindi cha Kubamba cha Times … Read More
Tunaheshimu Maamuzi ya Moses Machali Kuhamia CCM- Ole Sendeka Baada ya kutolewa taarifa ya aliyekuwa Mbunge wa zamani wa Kasulu Mjini, Moses Machali kuhusu kuunga mkono serikali ya awamu ya tano hivyo na kujiunga na Chama cha Mapinduzi, Msemaji wa Chama cha Mapinduzi (CC… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni