Nimekutana na stori mmoja kutoka Ufaransa inayomhusu mtoto wa miaka 18 aliyeweza kuishi na Ukimwi kwa miaka 12 bila kutumia dawa zozote wala vidonge vyovyote vya ARV.
Kitendo hiki kimeweka headlines nyingi sana nchini Ufaransa na kimeleta matumaini mapya ya kupata tiba ya ugonjwa wa Ukimwi, kwa njia ya kushusha virusi kwa viwango vya chini mwilini...