Model wa Kiume Anayejulikana kama @calisah Huku Instagram Ameibuka na
Tuhuma nzito iliyopo kwenye Tasnia hiyo ya Mitindo na Urembo ...
Ameandika Haya Kwenye Ukurasa Wake wa Instagram:
|Sikutaka kuandika chochote kuhusiana na tuzo za swahilifashionweek. Ila
naamini waliopo kwenye category zote ndio waliostahili kuwepo...
Na naamjni waliangalia vigezo vyao na kuhisi pengine wao ndio
waliostahili. Mtazamo wangu kwa upcoming models wote wanaotamani kesho
na kesho kutwa kuja kua model km mimi au mwingine yeyote. Tambueni hii
tasnia imeandamwa na machoko (gays) sasa basi...... hawa watu wanahisi
wanauwezo wa kukontro models wake kwa kukidhi haja zao. Na ikiwa utaenda
nao sawa bc watakutumia vizuri na watamtumia mtu mwingine yeyote mwenye
muonekano mzuri kwakua wao wanajua kua ili usongee mbele ni lazima uwakaze.
Na usipo wakaza utaanza kuona safari yako inaanza kua ngumu na
watatafuta njia yeyote ili wakuzime na ikiwemo kutaka kupandisha watu
juu ambao walikua hawapo kwenye hiyo level ili tu wakuoneshe kua wao
wanapower. Kuna ma_disigner wengi sana ktk hii tasnia yetu. Msibabaike
kwa vitisho na msikubali kuuza utu wenu ili mpate show au kuwepo kwenye
award yoyote, mkifanye hivyo mtatumiwa na kuachwa na kisha wao kwenda
kutafuta wengine, they always looking for what new. Sijakasirika
kutokuwepo kwenye tuzo za swahilifashionweek or nah kwani nilijua muda
mrefu kua siwezi kua huko na ndio maana hua sijishulishagi kwenda hata
kwenye cast, na sijawahi kwenda kwenye cast yoyote ya swahilifashionweek
tangu inaanza.
Cz I naw evrythng. ..... Models kama hamtakua makini mtaendea kutumiwa kwa kuafurahisha watu kila cku,
sitaki na wala sitataka kua kua kwenye award yoyote na wala hakuna quma
yeyote ninarmuogopa cz hakuna anaenipa hela ya kula kati yenu nyote,
taftani hao models wenye njaa.... wawakaze halafu ndio muwape tuzo zenu,
"Ushauri wangu kwa models wengine ambao wamekua_dissaponted.
Tulieniii..... tengenezeni portfolio zenu nzuri na mtafute kazi nje ya
nchi.... tuige mfano kwa @daxx_cruz @flavianamatata na wengine
waliotangulia... mkibaki hivyo hamtafkia kokote kwa kutegemea wakina
@martinkadindaofficial na kina @mustafahasanali they got nothing to help
u... Hakuna yeyote kati yao mwenye uwezo wakukuangusha ikiwa utajiweka
vizuri na kufokas soko la mbele. Msikubali kubaika na kuuza utu wako ili
mpate jina bila ya hela| Calisah
Ijumaa, 20 Novemba 2015
Home »
» Model Maarufu Bongo Aibua Shutuma Nzito Kwenye Tasnia ya Mitindo..Adai Tasnia Imejaa Machoko ili Usonge Mbele ni Lazima Uwakaze
Model Maarufu Bongo Aibua Shutuma Nzito Kwenye Tasnia ya Mitindo..Adai Tasnia Imejaa Machoko ili Usonge Mbele ni Lazima Uwakaze
Related Posts:
Kajala Ahusishwa Undani wa Wimbo wa ‘Haya Yote ni Maisha’ ya P FunkMsanii Madee amefunguka undani wa wimbo wa ‘Haya Yote Maisha’ wa Producer P Funk Majani ambao ameimba yeye, wimbo ambao ulishika chati na kugusa hisia za watu wengi. Akiongea kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Madee am… Read More
Shetta Akanusha Taarifa Kuwa Diamond Amewahi Kutoka Kimapenzi na MkeweShetta amekanusha taarifa zilizozagaa mitandaoni kuwa Diamond amewahi kutoka kimapenzi na mama Qayllah. Wiki kadhaa zilizopita Shetta alifuta picha zote kwenye akaunti yake ya instagram huku akiwaacha mashabiki wake wakijiuli… Read More
Viongozi Wakuu Wote wa Taifa Wako nje ya Nchi ..Nani Anaongoza Nchi Kwa Sasa?Viongozi wakuu wote wa Taifa wako nje ya nchi katika ziara za kiserikali kwenye mataifa tofauti. Rais John Magufuli aliwasili Uganda jana asubuhi kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais mteule wa nchi hiyo, Yoweri Museveni z… Read More
IMEBAINIKA Rihanna na Drake Wamekuwa Kwenye Mahusiano ya Siri Kwa zaidi ya Mwezi sasaJarida la PEOPLE limefumua bonge moja la siri kuwa staa Rihanna na rapa Drake wamekuwa na mahusiano ya siri kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa. Rihanna na Drake wamefanya collabo kama “Take Care” .“What’s My Name?” na “Work” ila p… Read More
Idadi ya Ajali zilizojitokeza wakati wa Majaribio Mabasi yaendayo HarakaWakala wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) umesema kutozingatia sheria za barabara za mradi wa mabasi hayo, kwa vyombo vingine vya moto vimesabisha ajali 14 wakati madereva wa mabasi hayo wakiendelea na mazoezi kwa ajil… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni