Alhamisi, 4 Februari 2016

Mbunge Godbless Lema Awachana CCM Laivu....Hawawezi Kukaa Madarakani Kwa Maisha yote

Mbunge wa arusha mjini Godbless lema amesema leo bungeni swala la Zanzibar si la kichama,Ni swala la nchi na lisipotafutiwa ufumbuzi lina athari kwa kila mtu,

Lema ameenda mbali zaidi na kuwaambia Wabunge Wa CCM hii nchi ikiharibika hata watoto wao wataharibikiwa na hawawezi kukaa madarakani kwa maisha yao yote.

Lema amemtolea mafano mbunge Marry nagu na kumwambia akumbuke serakali iliyopita alikuwa waziri,Lakini leo naye anauliza maswali ya nyongeza.

Lema alienda mbali zaidi na kumwambia Mwenyekiti wa bunge Chenge asijione ni mdogo wake mungu kwa kukalia kiti cha spika.

Related Posts:

  • UJIO WAKE STEVE RNB,NI NOUMA Ni baada ya kimya kirefu kutoka kwa msanii Steve rnb sasa amerudi na ngoma kali.Unaweza kuiskiliza online au kudownload kuihifadhi katika kifaa chako. … Read More
  • MAN CITY YAANZA VIBAYA UEFA  Man City ilipata kichapo cha goli moja bila jibu Mechi zilizochezwa usiku wa kuamkia leo za Klabu Bingwa barani ulaya ambapo Manchester City walianza vibaya michuano hiyo baada ya kupata kichapo cha goli moja bila m… Read More
  • Polisi wadaiwa kutesa raia Nigeria Polisi nchini Nigeria wamedaiwa kuwatesa wanaume na wanawake pamoja na watoto. Taarifa hii ni kwa mujibu wa shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International. Shirika hilo limechapisha ripoti yake ambayo inada… Read More
  • Kesi ya Emmanuel Mbasha imesogezwa tena mpaka October.  Kesi ya mwimbaji wa nyimbo za Injili Emmanuel Mbasha imepigwa kalenda kwa mara nyingine tena kwa sababu Hakimu anayeendesha kesi hiyo kupata shughuli nyingine nje ya ofisi. Mbasha alipanda kizimbani katika mahakama… Read More
  • NI ZAIDI YA VIPODOZI,NI ASILI VISIVYO NA KEMIKALI;ORIFLAME. Ni aina mbali mbali za vipodozi kwa wanaume na wanawake,vimetengenezwa kwa ubora wa hali ya juu visivyo na kemikali.Ni vipodozi asili kabisa kulingana na ngozi yako jaribu aina hizi uone maajabu ya vitu asilia. Bidhaa hi… Read More

0 comments:

Chapisha Maoni