Taarifa ambayo imekua kama ya ghafla ni kuhusu Aliyekuwa mchezaji kiungo wa Yanga Athumani Iddi ‘Chuji’ kijiunga na timu ya Azam Fc na asubuhi ya leo ameonekana akiwa mzoezini Uwanja wa Azam Complex Chamazi, Dar es Salaam.
Azam ni timu yenye mafanikio makubwa sana katika ulimwengu wa soka kwa kipindi kifupi tangu ilipoanzishwa timu hiyo. Na mleta habari wako Tony Power.
Alhamisi, 3 Julai 2014
Home »
» Huyu hapa Mchezaji mwingine wa Yanga aliyehamia Azam Fc.
Huyu hapa Mchezaji mwingine wa Yanga aliyehamia Azam Fc.
Related Posts:
Omar Gonzalez White HouseMlango huo unavyoonekana Taarifa kutoka mjini Washngton zinaeleza kua mwanamume mmoja aliyekua ameshikilia kisu mikononi mwake aliruka uzio wa makao ya Rais wa Marekani Brack Obama na kukimbia kuelekea kwenye makazi… Read More
Taarifa kuhusu kifo cha msanii wa bongofleva Side Boy Mnyamwezi. Ingawa Nafasi yake katika muziki wa Bongo Fleva ilikuwa ikipanda taratibu kulingana na aina ya muziki aliokuwa akiumba,single iliyomtambulisha zaidi kwenye muziki wa Bongo Fleva inaitwa Kua uone ambayo alimshirikisha A… Read More
Waaga mchuano baada ya kuagizwa kuvua hijab Timu ya wanawake ya Qatar ya mchezo wa mpira wa kikapu imejiondoa kutoka mashindo ya bara Asia. Timu ya wanawake ya Qatar ya mchezo wa mpira wa vikapu imejiondoa kutoka mashindo ya bara Asia yanayofanyika huko Korea Kus… Read More
Van Gaal:tuna mlinzi wa kati mmoja tu Kocha wa Manchester United Louis Van Gaal. Kocha wa machester United, Louis van Gaal amesema Manchester united ina mlinzi wa kati mmoja tu mwenye uzoefu wakati huu kikosi hicho kinapotarajia kukipiga na west ham kat… Read More
NI KIVUMBI LIGI YA MABINGWA ULAYA Katika michuano ya Klabu Bingwa barani Ulaya leo kuna kivumbi kingine ambapo CSKA Moscow itakuwa na kibarua kigumu pale watakapowakaribisha Bayern Munich. Wakati huo huo Man City waliopigwa bao moja na Bayer… Read More
iko poa
JibuFuta