Kundi la al-shabab limesema limempiga risasi na kumuua mbunge mmoja maarufu mjini Mogadishu.
Ahmed Mohamud Hayd aliuawa na watu waliokua ndani ya gari, wakati akitoka hoteli aliyofikia katika eneo linalolindwa vikali, wamesema watu walioshuhudia. Mlinzi wake pia ameuawa na msaidizi mmoja kujeruhiwa. Mtoa habari wa youngluvega.blogspot.com Paul Luvega amesema mauaji ya bwana Hayd- ambae ni kamanda wa zamani wa kijeshi na pia ni waziri- yameshtusha wengi duniani kote.
Alhamisi, 3 Julai 2014
Home »
» MBUNGE APIGWA RISASI MOGADISHU
MBUNGE APIGWA RISASI MOGADISHU
Related Posts:
Ishara Za Kujua Iwapo Umemkuna Mwanamke Wako Vizuri Kunako 6 X 6..!!! Leo acha niwape dondoo kadhaa kuhusu namna ya kujua kama umemkuna ipasavyo mwanamke wakati wa tendo la ndoa. 1.Kufinya shuka kwa nguvu au kitanda kwa nguvu wakati unampa mambo ni ishara mojawapo ya kuonye… Read More
DODOMA: Bashe, Malima na Musukuma Mbaroni Wakidaiwa Kupanga Kuhujumu Vikao Vinavyoendelea Wabunge wawili Bashe na Musukuma wamekamatwa leo asubuhi kabla ya kikao cha Kamati Kuu kuanza kutokana na kudaiwa kubeba ajenda ya "kwenda kumpinga Mwenyekiti". Kundi hili la wabunge lililokuwa na mjumbe mwingine, Adam M… Read More
P-Funk: Diamond Anapaswa Kutulia Kidogo, lasivyo Watu Watamchoka Producer mkongwe wa Bongo Records, P-Funk Majani, amesema kila siku akiendelea kusikia kuhusu Wasafi, itafika muda atawachoka. Amedai kuwa ili label hiyo iendelee kufanya vizuri kwa muda mrefu, ni lazima ibadili… Read More
Jamani Nitoke Nnje ya Ndoa..?Nahitaji Ushauri Wenu...!!! Nimevumilia majaribu ya ndoa yamenishinda, ninaishi na mke wangu lakini hatuna furaha yaani kama tumelazimishwa! Hakuna kabisa furaha, tumejaribu kukaa chini na kujadili mara nyingi sana lakini huwa anadai haku… Read More
Rumishael Shoo (Rummy) Ashikiliwa na Polisi Kwa Tuhuma za Dawa ya Kulevya Kamanda Sirro akiongea na waandishi wa habari amesema Jeshi la Polisi limefanikiwa kuwakamata wahalifu mbalimbali, silaha na magari mawili aina ya Noah yaliyokuwa yakitumika kufanya uhalifu. Miongoni mwa aliowata… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni