Mwanamichezo kutoka nchini Ufaransa Sean Garnier (katikati) ambaye yuko nchini Tanzania kwa ziara maalum ya kimichezo akifafanua machache mbele ya waandishi wa habari mara baada ya kutambulishwa. Pembeni yake kulia ni Meneja Masoko wa Kampuni ya Mohn’s John Ntuli na Mkurugenzi wa Masoko Kampuni ya Mohan’s Vijay Joshi.
Mwanamichezo kutoka nchini Ufaransa Sean Garnier akionyesha staili mbali mbali za kucheza mpira mbele ya waandishi wa habari. Namtayarishaji wako Nickson Luvega.
Alhamisi, 3 Julai 2014
Home »
» MFARANSA AJA TANZANIA KUONYESHA UMAHIRI WA KUCHEZA MPIRA WA MTAANI
MFARANSA AJA TANZANIA KUONYESHA UMAHIRI WA KUCHEZA MPIRA WA MTAANI
Related Posts:
Diva: Kama Huna Milioni 500 Huwezi Kunioa &nb… Read More
Dogo Janja Amekuwa James delicious ?- Young Tusso &nb… Read More
Mnunuzi Feki wa Nyumba za Lugumi Kupimwa Akili Bilionea Dkt. Luis Shika ambaye wiki iliyopita alitangaza kununua nyumba za kifahari za mfanyabiashara za Said Lugumi, zilizopo eneo la Bweni JKT jijini Dar es salaam anatarajiwa kupelekwa hospitali kupimwa afya ya akili.Hay… Read More
Huu Hapa Ukweli Mchungu Kwa Wadada Wanaolalamika Hawana Bahati za Kuolewa....Wanaume wengi hawajafikia ndoto zao, wanatamani kupata wanawake watakaowatia moyo kuwafikisha kwenye ndoto zao! Ukweli mchungu ni kwamba wanawake hawawataki wanaume ambao bado wako safarini kuelekea ndoto zao! Wanataka wal… Read More
Majibu ya Kamanda Mambosasa Kuhusu Kutofautiana Kauli na RPC IringaMtandao kumekuwa na Gumzo kuhusu kauli ya Kamanda Mambosasa na RPC wa Iringa kutofautina kuhusu kupatiikana kwa Abdul Nondo Mwanafunzi aliyedaiwa Kutekwa, Kamanda Mambosasa alisema Abdul Nondo alikutwa akiendelea na Shughu… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni