Home »
» Uliipata hii ya Wanafunzi Kenya kupelekwa Mahakamani baada ya kukutwa wamelewa?
Sio
kitu kigeni kuona watu wenye umri zaidi ya miaka 18 wanakunywa Pombe
wanalewa na hata pombe hiyo kugharimu maisha yao ila sio kawaida
kukutana ama kuona mtoto wa miaka kati ya 14-17 ni mlevi wa kupindukia
na mtumiaji pia wa dawa za kulevya.
Ripoti
mpya iliyotolewa na Mamlaka ya kudhibiti vileo nchini Kenya (NACADA)
inaonyesha kwamba ni watoto zaidi ya MILIONI MOJA nchini humo wenye umri
kati ya miaka 14-17 ambao ni watumiaji wakubwa wa pombe na dawa za
kulevya.
Ripota wa youngluvega.blogspot.com
Kenya Yohana John amesema mwenyekiti wa NACADA John Mututho
ameisema hii wakati alipowatembelea Wanafunzi 16 waliokamatwa wakiwa
wamelewa mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo sasa wamefikishwa kwenye
Mahakama ya Baricho.
Hakimu
mkuu wa Baricho Hezekiah Keago ameamuru Wanafunzi hao baadhi kurudishwa
mikononi mwa wazazi ili kufanyiwa ushauri nasaha lakini pia vilevile
Wanafunzi wengine waliobakia kati ya hao wamehukumiwa kwenda jela ya
Watoto Muranga.
Ushahidi
uliotolewa Mahakamani umeonyesha kwamba hawa Wanafunzi ambao
wamekamatwa kwa ishu ya pombe, walihusika kuinywa pia pombe iliyopigwa
marufuku nchini Kenya ambayo ina kemikali hatari kwa afya na iliua zaidi
ya watu mia moja.
Related Posts:
JE WAJUA MWANAFUNZI CHUO KIKUU ALIYECHOMWA MOTO AFARIKI, KUZIKWA KESHO KILIMANJARO
Daniel Anael Lema, aliyekuwa mwanafunzi wa mwaka wa nne wa shahada ya sheria katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Mt. Augustino, Tawi la Iringa (Ruaha University College - RUCO) enzi za uhai wake
Jeneza lenye mwili wa ma… Read More
Canada wamefungisha hizi ndoa 115 za jinsia moja kwa wakati mmoja.
Wapenzi wa muda mrefu Richard Laslett na Collin Gunther ambao wamedumu kwenye mahusiano kwa muda wa miaka 37 wamepata nafasi ya kuwa moja kati ya wapenzi wa jinsia moja 115 waliofungishwa ndoa kwa wakati mmoja mjini Toronto… Read More
PICHA ZA TUKIO LA UJAMBAZI UBUNGO, YAUA SISTA WA PAROKIA YA KIBANGU.
Mwili wa Sista baada ya kupigwa risasi.
Kidole cha dereva kilichokatwa kwa risasi.
Ganda la risasi likiwa eneo hilo la tukio.
.Dereva akiwasiliana na jamaa zake baada ya kupigwa risasi na sista aliyekuwa naye kuuawa.
… Read More
JE WAJUA JINSI YA KUTONGOZA MSICHANA KWENYE MTANDAO WA FACEBOOK...
Facebook ndio habari ya mjini..., kila mtu yupo na kila msichana mzuri au mbaya, hata yule wa kwenye ndoto zako anaitumia, na ni sehemu iliyo na wasichana wengi zaidi waliounganisha na mtandao mmoja kuliko mtaani, mashuleni… Read More
TUNAENDA WAPI JAMANI CHEKI PICHA ZA UCHI ZA WANAFUNZI WA CHUO MAARUFU HAPA NCHI
Baadhi ya madenti wa vyuo vikuu mbalimbali jijini Dar es Salaam, wameoza kwa matukio machafu ya ngono.Katika uchunguzi wa muda mrefu, Inaonyesha kuwa kuna kamtindo ka wanafunzi kufanya mapenzi ndani ya hostel zao huku wakij… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni