Video queen aliyetokelezea kwenye video kibao za bongo Gigy Money ameamua kufunguka juu ya masinema yake.
Giggy ambaye haishi vituko na kuibua mapya kila siku mitandaoni aliiambia eNewz kuwa yeye wala hajali maneno ya watu na anapenda sana yale mapicha picha yake ya utupu.
“Mimi sipo kwa ajili ya kiki mimi napenda kile ninachokifanya na ndio ninachokifanya mimi nipo kwa ajili ya kutengeneza pesa tu na kipo kiwango ambacho nakitaka nifikie na sasa natarajia kufikia,” alisema Gigy.
Jumapili, 1 Mei 2016
Home »
» Gigy Money Afunguka Kuhusu Mapicha yake ya Nusu Utupu Mtandaoni..Adai Ndio zinampatia Pesa.....
Gigy Money Afunguka Kuhusu Mapicha yake ya Nusu Utupu Mtandaoni..Adai Ndio zinampatia Pesa.....
Related Posts:
New AUDIO | Mr Blue, Amini, Barnaba, Dayna - Dereva Makini | Download … Read More
New AUDIO | DAYNA NYANGE - I DO | Download … Read More
New AUDIO | Nay Wa Mitego & Mr Touch - Mr Nay | Download … Read More
New AUDIO | Ben Pol - Upendo | Download @iambenpol … Read More
JE WAJUA JINSI YA KUTONGOZA MSICHANA KWENYE MTANDAO WA FACEBOOK... Facebook ndio habari ya mjini..., kila mtu yupo na kila msichana mzuri au mbaya, hata yule wa kwenye ndoto zako anaitumia, na ni sehemu iliyo na wasichana wengi zaidi waliounganisha na mtandao mmoja kuliko mtaani, mashuleni… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni