Jumatatu, 8 Desemba 2014

DADA WA KAZI ALIYEMTESA MTOTO UGANDA AOMBA MSAMAHA

Jolly Tumuhirwe
Mfanyakazi wa nyumbani aliyenaswa kwenye kanda ya video akimchapa na kumkanyaga mtoto nchini Uganda, amefikishwa mahakamani leo.
Mfanyakazi huyo Jolly Tumuhirwe aliambia mahakama kuwa anajulia kile alichokifanya na hata kuomba msamaha. Ameshitakiwa kwa kosa la kumtesa mtoto Arnella.
Licha ya taarifa ya polisi kusema Jolly atashitakiwa kwa kosa la jaribio la ,mauaji, kiogozi wa mashitaka alimshitaki Jolly kwa kosa la kumtesa mtoto mdogo.
 Jolly Tumuhirwe ameomba mahakama kumsamehe kwa kumtesa mtoto 

Bi Tumuhirwe alikiri makosa yake na kuomba msamaha. Hakuna wakili yeyote aliyemwakilisha Jolly mahakamani licha ya mmoja wa mawakili mashuhuri kusema angemwakilisha Jolly bila malipo.
Kesi hio imeakhirishwa hadi Jumatano, wakati ambapo hakimu anatarajiwa kutoa hukumu yake dhidi ya Jolly.
Huenda akafungwa jela miaka 15 au kutozwa faini ya dola mianne au adhabu zote mbili.

Related Posts:

  • MANUEL"CHELSEA NI TIMU NDOGO"Pellegrini ameikejeli Chelsea kwa kucheza kama timu ndogo  Kocha wa Manchester City Manuel Pellegrini ameikejeli Chelsea kwa kucheza kama timu ndogo timu hizo zilipoambulia sare ya Moja kwa moja uwanjani Etihad. An… Read More
  • MASHABIKI WAMTUKANA BALOTELLIUjumbe wa Balotelli ulioibua hisia za ubaguzi wa rangi kwenye mtandao wa twitter  Polisi nchini Uingereza wameanzisha uchunguzi kuhusu tukio ambalo mshambulizi wa Liverpool kutoka Italia Mario Balotelli alitukanwa kut… Read More
  • WATU 115 WAFARIKI KANISANI NIGERIA  Muhubiri T.B Joshua amewashangaza wengi kwa kusema aliona ndege ikizunguka jengo hilo kabla ya kuporomoka Serikali ya Afrika Kusini inasema kuwa watu miamoja na kumi na tano wengi wao wakiwa raia wa Afrika Kusini, … Read More
  • Huyu ndio msanii staa wa kimataifa anaekuja Fiesta Dar 2014.   Wakati Tour ya Fiesta ikiwa inazunguka kwenye mikoa mbalimbali Tanzania ambapo weekend hii ni Mbeya na Songea, ametangazwa msanii wa kimataifa ambae ni rasmi atapanda kwenye stage ya Fiesta Dar es salaam Oct… Read More
  • EPL: Matokeo ya Man City vs Chelsea haya hapa Home » General News » EPL: Matokeo ya Man City vs Chelsea haya hapa EPL: Matokeo ya Man City vs Chelsea haya hapa Posted by: TZA Sports September 21, 2014 General News Baada ya Man United kupokea… Read More

0 comments:

Chapisha Maoni