Baada ya Video ya mtoto wa Joseph Mbilinyi kuwekwa
mtandaoni ikionyesha akiomba hela ya kusuka huku akilia , Mama mzazi wa
mtoto huyo aliyeweka Video hiyo mtandaoni amewajibu watu walio comment
kwa kumwambia amekosea kwani anamzalilisha mtoto na baba yake ambaye ni
mbunge wa Mbeya Mjini.....
"NYINYI MNAOSEMA KAMA NIMESHINDWA KUMLEA MTOTO NIMUACHIA
BABA YAKE- NAWAONA WAPUMBAVU TU KAMA WAPUMBAVU WENGINE WOTE..... KUTAKA
KUISHI NA MWANANGU SIO SABABU YA BABA KUTOKUJUA MTOTO ANA KAA WAPI!
ANAKULA NINI- ADA ANAPATA WAPI NA SHULE ANA SOMA IPI... NDIO NINA HAKI
YA KUKAA NA MWANANGU LKN SIO KWAMBA KWA SABABU NAISHI NAE NDIO SABABU YA
KUTOMKUTUNZA MWANAE.... NA PUMBAVU ZENU WALE WANAO SEMA NA MZALILISHA
SASA MNTAKA NIMPEJE UJUMBE IKIWA SINA MAWASILIANO NAE ? KAMA SIO KUTUMIA
MITANDAO ..... ? NAO MNAOSEMA NIMESHINDWA MNAJUA NALIPA KODI KIASI
GANI? ADA SH NGAPI ? MATUMIZI NA MNAJUA NAPATAJE MANINA ZENU? AU MNAZANI
KUWA SINGLE MAMA MCHEZO - PUMBAVU ZENU NYOTE MNAO SHANGAA MIMI
KUONYESHA HISIA ZANGU..... KUNA NYAKATI ZINGINE UNASHINDWA KUJIZUIA
UKIWA KAMA MZAZI UNAPO KOSA MSAADA WOWOTE KWA MZAZI MWENZIO SPECIAL
AKIWA NA UWEZO WA KUTOA.... NA SI KWAMBA NIMESHINDWA ILA NIMEKASIRIKA NA
KUSIKITIKA SANA PALE MWANANGU ANAPO HITAJI NA NAKUA SINA KWA WAKATI HUO
NA NIKITIZAMA BABA YAKE ANAO UWEZO LKN ANA NIKOMOA KWA AJILIA YA
KUMUACHA - HII HAINGILIANI KABISA NA KUTO KUMJALI MWANANO- NA ZAIDI
AKIWA AMESIMAMA BUNGENI KUTETEA WANANCHI IKIWA VIZAZI VYAKE VINA
HANGAIKA IKIWA KAKA YAKE SASHA AMBAE AMEMTOA MJINI BAADA KUJULIKANA NA
KUMPELEKA MTWARA AMEKUA MLEVI HUKO WKT BORA ANGEMUACHA HAPA GARAGE
ALIKUA ANA JIPATIA RIZIKI YAKE ...... WANAO WOTE WAWILI HAWAJALI .....
KAMA MZAZI INAUMA ...... NYIO MSIO JUA UCHUNGU WA MTOTO WALA UGUMU WA
KUWA SINGO MAZA FUNGENI MIDOMO YENU VISEBENGO WAKUBWA SUBIRI YENU
!!!!!!!!!!! NA BAADA YA YOTE KUNIPELEKA MAHAKANI NATOA HELA ZANGU NA
KESI INAZUNGUSHWA..... KILA NINAPO FIKA MAHAKAMANI LZM NILIPE NA ADA YA
MWANASHERIA m.2 ...... KAMA SIO KUKOSA UBINAADAMU NI NINI ????? -
SIKILIZENI SINA ASILI YA KITUMWA NIKO KATIKA TAIFA HURU NA NITASEMA NA
KUFANYA KILE NINACHO AMINI..... NA NINA AMINI KIONGOZI BORA ANA ANZIA
NYUMBANI........... LKN MWISHO WA SIKU YOTE MAISHA NITASIMAMA TU NA
NITAWEZA LKN WKT MWINGINE BINAADAMU LZM TUSEME YALIYO MOYONI ILI
TUENDELEE NA YAJAYO...... NARUDIA TENA KWA YOYOTE ANAE SHANGAA HILI NI
MPUMBAVU NA AMETOKA KWENYE FAMILIA ZA KINAFKI ZINAZO FUNIKAGA VITU
AMBAVYO HAVI STAHILI KUFUNIKWA!!!!!!!!!!" Faiza Ali
Jumanne, 26 Januari 2016
Home »
» Faiza Ally Awapa Makavu Live Wale Wote Wanaosema Amekosea Kuweka Video ya Mtoto Instagram Akimuomba Hela Mbunge Sugu
0 comments:
Chapisha Maoni