Adama Barrow ambaye ni mwanasiasa wa upinzani ambaye inaaminika ndie mshindi wa uchaguzi wa Urais Gambia ameapishwa kuwa Rais wa Gambia japokua uapisho wake umefanyika nje ya taifa hilo.
Uapisho umefanyika Senegal kwenye ubalozi wa Gambia ambapo raia wengi wa Gambia wanaofanya kazi Senegal wamehudhuria kuapishwa kwa Adama na hiyo imetokana na kugoma kuoachia madaraka kwa Rais Yahya Jameh na kutangaza hali ya hatari.
Alhamisi, 19 Januari 2017
Home »
» Gambia bado kwa moto, Adama Barrow kaapishiwa Urais akiwa nje ya nchi
Gambia bado kwa moto, Adama Barrow kaapishiwa Urais akiwa nje ya nchi
Related Posts:
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Singida Asimamishwa Kazi Baada ya Kutoa Taarifa za Uongo Kuhusu Watumishi HEWAMkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Singida, Simion Mumbee amesimamishwa kazi baada ya kudaiwa kutoa taarifa za uongo kuhusu watumishi hewa. Katika taarifa hiyo, Mumbee anadai watumishi hewa 19 waliogundulika kwenye halmash… Read More
Jason Rweikiza Achaguliwa Kuwa Katibu wa Wabunge wa CCMWABUNGE wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamemchagua Mbunge wa Bukoba Vijijini, Jason Rweikiza kuwa Katibu wao. Rweikiza anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama, ambaye safari hii hakuwania nafasi … Read More
TAZAMA HAPA WIMBO MPYA WA SHETTATazama Hapa Chini Video Mpya ya Mwanamuziki Shetta ya Wimbo Unaoitwa Namjua, Video Imefanywa South Africa... … Read More
Serikali yakamata Tani 4,900 za Sukari iliyofichwa Mbagala na Tabata jijini Dar Baada ya muda mfupi wa rais kusema kuwa kuna wafanyabiashara wameficha Sukari, muda huu imeripotiwa kuwa huko Mbagala kuna Sukari ya zaidi ya tani 4,900 kwenye ghala la mfanyabiashara mmoja na imeelezwa zitachukuliwa hatua s… Read More
Snura Atoboa Siri Alipojifunzia Mauno Msanii Snura ambaye jana video ya wimbo wake wa ‘Chura’ ulifungiwa na serikali kutokana na kutokuwa na maadili na kukiuka utamaduni wa kitanzania amefunguka na kusema kuwa yeye kukata viuno amejifunzia kwenye ngoma za asil… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni