Home »
 » Polisi yaongea kwanini Diamond Platnumz hakufikishwa Mahakamani kama wale wa Singida
 
Mohamed Mpinga ni Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani Tanzania na amekubali kukaa kwenye Interview na Ayo kujibu
 baada ya watu ku-comment kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuona 
Diamond amepost picha akiwa na Kamanda na hakupelekwa Mahakamani.
Kamanda Mpinga ameeleza kwanini Mwimbaji Diamond Platnumz
 hakupelekwa Mahakamani baada ya video yake kusambaa akiendesha gari 
huku akiimba na kucheza wakati kuna wale wa Singida walipelekwa mpaka 
Mahakamani kwa kosa hilohilo…… 
 
 
0 comments:
Chapisha Maoni