Home »
» Mwanamitindo afariki dunia kwa kugongwa na treni
Mrembo wa miaka 19 aliyefahamika kwa jina la Fredzania Thompson amegongwa na treni wakati akipiga picha.Fredzania alikuwa ni mwanafunzi wa chuo cha Blinn na alikuwa na ndoto za kuwa mwanamitindo mkubwa duniani. Mzazi wa mrembo huyo, Akamie Stevenson ameliambia shirika la habari la CNN, “Bila shaka hilo ndio jamba ambalo alilokuwa akilitaka kulifanya katika maisha yake. Ndiyo shughuli aliyoanza kuifanya siku aliyofariki dunia.”Hata hivyo msemaji wa polisi wa Navasota, Justin Leeth amesema mpaka sasa hawajagundua tatizo lolote juu ya kifo hicho kama kilikuwa cha hila yoyote.
Related Posts:
Baada ya Kulianzisha,,Makonda Yupo Hatarini Kuuawa,Vigogo wa Madawa ya Kulevya Wapanga Mikakati ya Kummaliza kwa Gharama Yeyote Ile..!!!!
Wakati vita dhidi ya madawa ya kulevya jijini Dar vikipanuka na kugeuka
kuwa suala la kitaifa, kuna kila dalili kuwa usalama wa Mkuu wa Mkoa wa
Dar es Salaam, Paul Makonda upo hatarini, Risasi Mchanganyiko limebaini.
… Read More
Mwanake ni Sura au Msambwanda?
Kuna hili suala ambalo nimeona sio vibaya tukiulizana kujua utashi wa
kila atakayechangia tuone kipi watu wanapenda zaidi inapobidi kuchagua
kimoja.
Ni ndoto ya kila mmoja kupata mwanamke aliyetimia kuanzia sura mpaka
u… Read More
Huu Ndio Msikiti ambao Diamond Anapang Kuujenga..!!!
Diamond amejitolea kujenga msikiti.
Hitmaker huyo wa ‘Marry You’ amesema kwa sasa anajenga msikiti huo lakini upo mkoani Mtwara.
“Mimi nakushukuru sana mama yangu, asante sana. Naamini kabisa nitakuja
Mtwara, Mtw… Read More
Upepo Mchafu Wazidi Kumuandama Manji, Asakwa na Uhamiaji Kwa Kosa Hili
Baada ya Sakata la Madawa ya Kulevya kumuandama mpaka kufikia kulazwa
Hospitalini, Uhamiaji nao wamekuja na Mpya baada ya kukamata Passport
Kadhaa ofisini kwake za watu kutoka nje ambao wanafanya kazi kwenye
kampuni yak… Read More
Diamond Platnumz Athibitisha Kuwa Mbioni Kumrudisha Q-Chief Kwenye Ramani...!!!
Diamond Platnumz amethibitisha kuwa amejipanga kumrudisha Q-Chief kwenye
ramani ya muziki baada ya uongozi wake wa QS Mhonda kushindwa kufanya
hivyo licha ya kudai kutumia zaidi ya shilingi milioni 200 bila kupata
fai… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni