Jumanne, 14 Novemba 2017

Mange Kimambi Afunguka baada ya Lulu kupigwa mvua ya Miaka Miwili

From @mangekimambi_ - Breaking newzzzzzzzz..... Lulu amekutwa na hatia ya kuuwa bila kukusudia na amehukumiwa miaka miwili jela.......
.
.
.
Dah huyu jaji anawaza kama mimi posti yangu niliyoposti masaaa mawili yaliyopita nilisema ningekuwa jaji ningemkuta na hatia ila ningempa adhabu ndogo mwaka mmoja au miwili jela.......
.
.
Jaji ametenda haki....
.
.
Sio kama nimefurahi Lulu kafungwa nilichotaka ni kuona hakuna double standards, nilitaka kuona haki inatendeka. Na Lulu ana deserve hiyo miaka 2 jela labda itampa muda wa kufikiria how her actions affected Mama Kanumba na familia yake. Labda akitoka atakuwa more humble......
.
.
.
Lakini still mwanasheria wa serikali achukulie hatua za nidhamu na afukuzwe kazi!! Alijaribu sana kusabotage kesi ili amsaidie mtuhumiwa......
.
.
PS: December Magu anatoa misamaha kwa wafungwa, sidhani kama atawasahau wafungwa wa kumpa kiki ya kufungia mwaka kama Lulu na kina Babu Seya maana ile barua ya kina Baba Seya had Bashitel written all over it."

Related Posts:

  • MAYWEATHER AMCHAPA TENA MAIDANA Floyd Mayweather (kushoto) akimtupia konde mpinzani wake Marcos Maidana. Maidana akijibu mashambulizi wakati wa pambano hilo. Mayweather akimshambulia mpinzani wake.… Read More
  • UGANDA YAHARIBU SHAMBULIZI LA KIGAIDI  Vikosi vya usalama nchini Uganda  Maafisa wa polisi nchini Uganda wameimarisha usalama katika maeneo mengi ya uma katika mji mkuu wa Kampala kufuatia kukamatwa kwa washukiwa kadhaa wa makundi ya kigaidi na vil… Read More
  • WANACHAMA 100 WA BOKO HARAM WAUAWA   jeshi la Nigeria Jeshi la Nigeria linasema kuwa limewaua zaidi ya wanamgambo 100 wa kundi la Boko Haram kufuatia shambulizi la wapiganaji hao siku ya ijumaa kazkazini mashariki mwa jimbo la Borno. Vikosi vya ser… Read More
  • Shearer asema Welbeck atang'ara Arsenal  Mshambuliaji wa Arsenal Danny Wellbeck kushoto  Mshambuliaji mpya wa kilabu ya Arsenal Danny Welbeck anaweza kufunga mabao 25 kwa msimu mmoja ,hayo ni matamshi ya aliyekuwa … Read More
  • MFUNGWA AKUTWA NA SIMU MWILINI  Tatizo la kuingiza bidhaa kimagendo ndani ya magereza ya Kenya imekuwa kero kubwa kwa maafisa wa magereza. Kwa baadhi ya watu simu ya mkononi ni kifaa tu cha mawasIliano ilihali kwa wengine ni kifa ambacho kinaweza … Read More

0 comments:

Chapisha Maoni