Rais Dkt John Pombe Magufuli ametajwa kuwania tuzo ya ‘Forbes Africa Person of The Year.’
Anachuana na watu wengine wanne wakiwemo: Rais wa Mauritania, Ameenah
Gulib, Mwanzilishi wa Capitec Bank, Michiel Le Roux na Thuli Madonsela
wa Afrika Kusini pamoja na watu wa Rwanda.
Zimebaki siku 22 za kupiga kura. Unaweza kumpigia kura Rais Magufuli kwa
kubonyeza hapa. Hadi sasa Rais Magufuli anaongoza kwa asilimia nyingi
(73%).
Mwaka huu tuzo hizo zitatolewa jijini Nairobi, Kenya November 17.
Wafuatao ni washindi wa tuzo hiyo miaka ya nyuma
Mohammed Dewji (Tanzania)– 2015
Aliko Dangote (Nigeria)– 2014
Akinwumi Adesina (Nigeria) – 2013
James Mwangi (Kenya) – 2012
Sanusi Lamido Sanusi (Nigeria)- 2011
Jumatano, 26 Oktoba 2016
Home »
» Rais Magufuli ametajwa kuwania tuzo ya ‘Forbes Africa Person of The Year’, ingia hapa kumpigia kura
Rais Magufuli ametajwa kuwania tuzo ya ‘Forbes Africa Person of The Year’, ingia hapa kumpigia kura
Related Posts:
Rais Magufuli Aongoza Kura Kuwania Tuzo ya ‘Forbes Africa Person of The Year’ Rais John Magufuli anaongoza kura za kuwania tuzo ya ‘Forbes Africa Person of The Year’, ambayo hutolewa kwa watu walioonyesha mchango kwa jamii. Huku zikiwa zimebaki siku 21 kwa mshindi wa tuzo hiyo kuta… Read More
UKOCHA: Pluijm Amwaga Mboga Yanga Usemi wa Waswahili kuwa, ukimwaga ugali, nami namwaga mboga umetimia kwa klabu ya soka ya Yanga ambayo licha ya uongozi wake jana kukanusha kuajiriwa kwa kocha Mzambia George Lwandamina na kuachana n… Read More
Kinara wa Matusi Instagram Akamatwa na Polisi Baada ya Kutoa Matusi Makubwa Kuhusu Perfume Mpya ya Diamond Kijana mmoja ambaye anatumia jina la Shilolekiuno_official Huko Instagram hatimae amekamatwa na jeshi la polisi kwa kutukana na kukashifu watu mbali mbali mtandaoni, kijana huyo amekuwa akiandika matusi m… Read More
Magazeti ya Tanzania October 26, 2016 kuanzia, Udaku, Hardnews na michezo Share Tweet Share Share comments October 26 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kua… Read More
Mimba ya Nisha Bebee Yazua Balaa..Adai Baba Kijacho Wake Hawezi Hata Kujinunulia Sabuni ya Kufulia Boxer Ujauzito wa Mwigizaji Nisha Bebee umezidi kuzua sinto fahamu kutokana na vichambo anavyopost mtandaoni kwenda kwa Muhusika wa Ujauzito huo..leo tena amepost akimtolea uvivu kama ifuatavyo: "Watu wanasema n… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni